Wito: GP Said Mwema Jiuzulu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wito: GP Said Mwema Jiuzulu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Masanilo, Jan 6, 2011.

 1. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #1
  Jan 6, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kitendo cha IGP Said Mwema kuruhusu matumizi makubwa ya nguvu zidi ya maandamano ya amani mjini Arusha hakiwezi kupita bila kulaaniwa na sisi wanamageuzi. CHADEMA alikuwa na kibali cha kufanya maandamano na mkutano halali kwa kufuta sheria zote za nchi. RPC wa Arusha alitoa kibali na kuahidi kutoa ulinzi. Ilikuwaje wewe unayedai taarifa za kiintelijinsia kungekuwa na uvunjifu wa amani kutumia nguvu za kipolisi kufanya mauwaji? Ifike wakati ufahamu kuwa mishahara ya polisi ni kodi zetu sisi wananchi. Kitendo cha polisi kupiga wakina mama na watoto wasio na makosa tunakilaani kwa nguvu zote. Demokrasia ya kweli na mageuzi haviwezi kuzuiwa kwa nguvu za dola. Wewe kama ni Muungwana tunakuomba ujiuzulu maana ni dhahiri humeshindwa kazi ya kulinda usalama wa raia.

  Saidi Mwema tupe zawadi ya mwaka mpya kwa kujiuzulu. Jeshi la polisi ni la watanzania wote, kitendo cha kutumiwa na wanasiasa kunyamazisha upinzani ni sawa na kuzima moto kwa kutumia petrol.

  Rev Masa K
   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  Jan 6, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,759
  Likes Received: 82,734
  Trophy Points: 280
  Naunga mkono hoja yako Mkuu.
   
 3. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #3
  Jan 6, 2011
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,644
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  He is a killer
   
 4. K

  Kishalu JF-Expert Member

  #4
  Jan 6, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 850
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 60
  Umenena lakini ni ngumu kwa serikali ya CCM
   
 5. Wambugani

  Wambugani JF-Expert Member

  #5
  Jan 6, 2011
  Joined: Dec 8, 2007
  Messages: 1,755
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Siyo zawadi tu bali ni kuwajibika kama alivyofanya aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Ali Hassan Mwinyi mahabusu walipofariki.
   
 6. M

  Makemba Member

  #6
  Jan 6, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yaaguju!
   
 7. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #7
  Jan 6, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Meaning?
   
 8. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #8
  Jan 6, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kwa serikali ya kishikaji kama ya hii ni ngumu kujiuzulu
   
 9. M

  MzeePunch JF-Expert Member

  #9
  Jan 6, 2011
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,412
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Saidi Mwema ni lazima ajiuzulu kwa mauaji haya. La sivyo Mungu atamshushia laana kali sana kwa damu za watu hawa wasio na hatia waliopoteza maisha yao. Huyu ni muuaji, lazima ajiuzulu mara moja huku akisubiri zamu yake ya kwenda The Hague.
   
 10. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #10
  Jan 6, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  hivi hilo mwema ni jina lake au alipewa?ka alipewa basi walimpa kimakosa coz he is a violent crminal
   
 11. T

  Topical JF-Expert Member

  #11
  Jan 6, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Na pengine itakuwa vema wale wote waliowaanda wanachama wao kupambana na jeshi la polisi wajiuzulu

  Na hapa bila kumumunya maneno Slaa, Mbowe wajiuzulu??? siasa imewashinda wanataka kupambana??

  Wajiunge na jeshi kwani jeshi kazi yake ni kupambana na wavunjifu wa sheria na wachochezi

  Eti tunataka nchi isitawalike kama hiyo maono ya Slaa! basi kero kwa jamii yetu lol

  Nchi isipotawalika anapata faida gani? au kwakuwa hana family ana vipenzi vya muda tu????
   
 12. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #12
  Jan 6, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Bila kukuficha wewe huna akili! Kwa kukusaidia Jeshi la polisi kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi kazi yake ni kulinda usalama wa raia na mali zao. Jeshi halikuundwa kupambana na raia wema.
   
 13. T

  Topical JF-Expert Member

  #13
  Jan 6, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Bila kuficha pia wewe huna akili??

  Jeshi limeundwa kulinda usalama wa raia wema ok

  Litalinda raia wema kwa kuzuia raia wavunjifu wa amani (wanachama wa cdm) na wachochezi (viongozi wacdm)

  Hivi unafikiri watu wote hapa arusha wanapenda hayo maandamano yenu mnachekesha?

  Watu wanataka utulivu wafanye kazi, wewe kura umeshindwa unalialia unataka nchi isitawaliki

  Who damn you are? isitawalike ili upate faida gani kwakuwa umekosa urais ndio na sisi tusifanye kazi zetu?
   
 14. Relief

  Relief JF-Expert Member

  #14
  Jan 6, 2011
  Joined: Aug 6, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Naunga mkono hoja, IGP JIUZULU.
  Hafanani na MTANZANIA:alien:
   
 15. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #15
  Jan 6, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Sounds like a Crap!
   
 16. T

  Topical JF-Expert Member

  #16
  Jan 6, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kwisha habari yako wale wale wanachama wa cdm...ngoja mvunjwe miguu...

  Kama kwenye laptop unatukana kwa kosa hoja ..kwanini nisiamini kuwa ndivyo mlivyo

  eti na wewe utakuwa mbunge ..what a worst?
   
 17. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #17
  Jan 6, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  What a **** ukameza kama nilivyopost! Shame on you....Mbona wewe ni mbunge wa vitu maalumu?
   
 18. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #18
  Jan 6, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Naunga mkono hoja naona kazi imemshinda
   
 19. Tulamanya

  Tulamanya Senior Member

  #19
  Jan 6, 2011
  Joined: Oct 18, 2007
  Messages: 128
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ....hizi nguvu zinge elekezwa kutafuta wamiliki wa DOWANS could benefit more Tanzanians kuliko waliyoyafanya huko AR!

  Mch - naunga mkono hoja.....!
   
 20. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #20
  Jan 6, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Huyu MWEMA na JK hawaamini katika Mungu Mpenda AMANI, mungu wao ni wa jino kwa jino hivyo laana zetu hazimtishi. Kuingie barabarani au tugome mpaka aondoke
   
Loading...