wakuu,
Kwenye press hii Msigwa amseme walichokifanya CNN na wengine ni kinyume na maadili ya uandishi kwa kutokwenda kupata upande wa pili.
Wamesema kuweka picha za kutisha mtandani ni kinyume...
Samia alipata nafasi ya kuonesha maono yake na watanzania na dunia ili muamini na kushangilia, lakini kutokana na kile ninachokiita "uwezo mdogo" alishindwa kujenga misingi ya kukubalika.
Samia...
Akizungumza na Vyombo vya Habari leo Novemba 23, 2025 Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema kwamba kumekuwepo kwa wimbi la vyombo vya habari vya nje kuchapisha habari zinaoegemea upande...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Mahamoud Banga, ameendelea kukutana na makundi ya vijana kuhamasisha utulivu na kuwataka waripoti wote wanaofanya uchochezi...
Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa akizungumza leo Novemba 23, 2025 na vyombo vya Habari amesema kwamba Serikali ipo tayari kusikiliza wote wenye madukuduku, wenye ushauri na wenye maswali...
Kulingana na ripoti ya CNN,wamesema kile walichokitoa ni kama robo tu ya ripoti nzima (tip of an iceberg), na kwamba kuna ya kutisha zaisi ambayo wapo nayo kwenye kalablasha na vingine wanaendelea...
My people,
Haya ni maoni yangu binafsi na si lazima yafanane na wengi wenu,na kutofautiana na wengi wenu nisionekane napinga harakati za kuikomboa Tanganyika
Kuna msemo mmoja wa kiingereza...
Kabla ya kufungiwa kwa Kanisa la Gwajima tuliongea; ilipotolewa barua ya kufungiwa nikakutafuta kwa njia nyingine nikakwambia “Serikali ijitenge na hili” - nayo ukanipuuza.
Ilipofika kufungiwa...
Kumbe adabu inaweza kuletwa kabisa,
Nitafutie nyuzi Tano (5) au Press Za watu wa 5 machawa tofauti tofauti ambazo wamezungumza hivi karibuni after kile kitimu timu cha Mo29 halaf nionyeshe kama...
Makada wa ACT-Wazalendo Kigoma Mjini waliojitambulisha kama wapiga kura wa Jimbo hilo Hamisi Mwitu, Johari Ali Kaburu, Luma Hamisi Akilimali na Pendo Kombolela wamezungumza na vyombo vya habar leo...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Mwalimu wa Shule ya Awali ya "Saint Clemence" ndugu Clemence Kenani Mwandambo, mkazi wa Uzunguni "A" Jijini Mbeya kwa tuhuma za uchochezi.
Mtuhumiwa...
Watu wanalalamika sana kuhusu uzito wa kutoa huduma
Kama mifumo imeshavamiwa watoe taarifa mapema
Pia nashauri BOT wasidharau sana maneno ya vijana , waanze kutafuta backup system .
TAhadhari ni...
Maelezo machache sana bila kuathiri mikakati ya msingi .
Siku moja nyuma kabla ya jana nilikuwa na uadui wa wazi kabisa na kila aliyekuwa mwanaccm ,niliamini kila mwanaccm ni mnufaika wa huu...
mama kichwa cha habari kinavyojieleza nasikia huyu mdada anaandaliwa mkuu wa wilaya wakati ana historia mbaya sana na familia yao wa historia mbaya mno mno ,yeye mwenyewe nasikia mwizi na mkatili...
Mgombea wa nafasi ya urais kupitia chama cha Act- Wazalendo Luhaga Mpina amesema kuwa wananchi waodai No Reforms No Election, wanaotaka kulinda kura, wanaotaka kuandamana, na wale wenye kesi za...
Wakuu niwaombeni mwenye kuweka ile ya dr Ongara ya nyerenye ,isemayo ccm imekwisha kabisa , na Mwl umegatuka bila twambi , misikikila kona ,wanasema hamka hamka , hamka wajua tumelaje?
Ni baadhi...