Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuna maoni nilisoma mtu akishauri kuwa, Hawa Masheikh na Wanazuoni wanaojitokeza kushambulia TEC wanazidi kuharibu kwani wanaongea hisia badala ya Logics. Nimemsikiliza huyu Sheikh anasema kuwa...
15 Reactions
52 Replies
2K Views
Nianze kwa kucheka kidogo😊 Kama na wewe ni mtu wa kufikiri naamini hili swali umejiuliza pia Hii nchi hata mtoto wa miaka 10 ukimuuliza kwanini watu wameandamana tarehe tajwa atakuwa na majibu...
3 Reactions
11 Replies
262 Views
Tarehe 29 Oktoba, shit hit the fan, na Watanzania walikufa! Serikali inacheka tu, inadhani maisha ya watu ni joke. What the fck? Hawa watu walikuwa na familia, walikuwa na ndoto, lakini leo...
2 Reactions
1 Replies
208 Views
Picha ndio kitu wanachotafuta, baada ya hapo Utaona Vijana wao walowasambaa MITANDAON wakizitumia picha hizo na maneno yao. Hilo likishindikana TEC wawe tayari kujibu kupitia Vyombo vya habari...
4 Reactions
7 Replies
402 Views
  • Featured
Aliyekuwa Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Mwananchi, Bakari Machumu, ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano, Ikulu. Tido Mhando ameteuliwa kuwa Mshauri wa Rais, Habari na Mawasiliano. Lazaro...
3 Reactions
46 Replies
3K Views
Uchaguzi mkuu Oct.29 Mwaka 2000 Mkapa akiwa anatetea mhula wa pili wa urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, zanzibar ccm walimsimamisha Aman Abeid Karume akichuana na Maalim Seif wa CUF...
13 Reactions
13 Replies
698 Views
  • Featured
Rais Samia, amelipendekeza jina la Dr. Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Uteuzi huo unafanyika kufuatia taratibu za kikatiba ambapo jina la mgombea huwasilishwa...
10 Reactions
218 Replies
10K Views
Kazi mbaya si mchezo mwema. Matusi matupu...Tax alikuwa Waziri wa ulinzi, si ajabu ali sanction mauaji, leo yuko kwenye tume! Mungu naomba basi hilo lisifike mwisho wa safari. Tunataka tume ya...
10 Reactions
14 Replies
469 Views
Kwa jinsi ambavyo watanzania wanauguza majeraha ya kupotelewa wapendwa wao, ambao waliuawa kikatili siku kadhaa zilizopita, naiona hasira ya waliowengi kujitokeza Dec9 kulipa kisasi, Binafsi...
3 Reactions
34 Replies
1K Views
Chonde chonde wote mnaomshauri hata kumshikiria Rais Samia. Acheni kumdanganya. Mtamponza. Tanzania ishamtoka atake asitake. Namshauri afanye maamuzi magumu mapema kabla umma haujamuamulia na...
2 Reactions
8 Replies
380 Views
Wote mmemsikia na mmemuona hata alivyokuwa akizungumza huku hawezi hata kuwatazama wajumbe wake wa tume yake ya mchongo. Soni kama yote na huku alijikuta yeye mwamba kuua watoto wadogo katika...
9 Reactions
6 Replies
357 Views
Moja ya sababu za KUKOSA misaada ni UWEPO wake gerezani, shuoazeni shingo mkidai tukaze mikanda NAWAMBIA hamtoboi. Akiwa gerezani ukonga kauli zake za kitawaka, tutakinukisha hatumtaki...
0 Reactions
1 Replies
191 Views
Habari zenu wakuu. Samia Leo kaagiza kauli za wana siasa zichunguzwe huku akinukuu baadhi ya kauli za wapinzani wake,na kusahau kuitisha uchunguzi wa kauli zake wakati wa kampeni. Mimi naamini...
2 Reactions
1 Replies
261 Views
Tuamini yale waliyotuambia wasimamizi wa uvhaguzi kuwa Samia anaungwa mkono na 98% ya Watanzania wote wenye sifa za kupiga kura. Hawa ina maana ni watanzania wote waliofikisha umri wa miaka 18...
19 Reactions
24 Replies
610 Views
Katika hotuba zote za hivi jaribuni, Samia Suluhu Hassan,ambaye ni Rais aliyechaguliwa kwenye Uchaguzi uliogubikwa na sintofahamu nyingi, na kutokea MAUAJI makubwa ya Watanzania ameonekana kutoa...
9 Reactions
11 Replies
511 Views
Kukwepa aibu: Sefue, Chande na Mwema jitoeni kwenye tume fake. Kesho CNN wanatoa report yao ya mauaji Dunia nzima. Je ni nani atawapa viza, nani atawapa kazi za kimataifa na mtabaki kuonekana ni...
3 Reactions
2 Replies
176 Views
Tafadhali sikilizeni hii. Na huu ndio uhalisia wa maisha mtaani Tanzania yote. Nb: Viongozi wa Kiislam jitafakarini sana. Kama ni bahasha na uchawa basi mnajidhalilisha.
3 Reactions
6 Replies
280 Views
Katika mfumo wa haki, majaji wetu wamepewa hadhi ya juu mno yaani "a stature that borders on judicial sanctity. Wanavaa mavazi ya kipekee, wanaketi juu ya viti vilivyoinuliwa, na wanatoa maamuzi...
5 Reactions
10 Replies
458 Views
Tuna ndugu kama kaka , dada, wajomba, shangazi, baba mkubwa, n.k. wapo wenye dini tofauti na hatujawahi kuwa na tatizo. Tumekua tukiishi kwa upendo na uelewa. Kizazi hiki kilichozaliwa kwenye...
4 Reactions
9 Replies
222 Views
Mashekh kadhaa wametoka na kutoa mapovu yao kwa Kanisa Katoliki na kutoa tuhuma nzito sana! Wamedai kwamba wizi unaendelee katika Bandari umebarikiwa na Kanisa Katoliki, na kusema kwamba waislamu...
6 Reactions
79 Replies
2K Views
Back
Top Bottom