The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,150
- 22,112
GT
Kama ilivyomkawaida ya maCCM hawa jamaa akili hawna hata mbinu za kukabiliana na matatizo hawana they are not problem solvers.
Sasa kutokana na pressure ya maandamano D9 wanepenyeza agenda ya kipumbavu sana engineered from the system maana serikali ipo kimya pamoja na upumbavu unaoendelea.
Mantiki ni kutaka kuonyesha kwamba maahaya ni ya kidini tena Wakatoliki what a shame... yaani kuteka kote kule watu. Kuia kote kule watu mmeshindwa kuwajibika mmetuingizia mashekh ubwabwa?
Wale wa darasa la pili baada ya kupigwa nondo mmekuja na hawa wanaitwa wahadhari still now wanaongea ujinga ule ule bila kuwa na takwimu sahihi.in short ni makada wa CCM hakuna mashekh hapo.
Hapana shida D9 ipo pale pale.