Lazaro Nyalandu: USA inataka niwe rais wa Tanzania 2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lazaro Nyalandu: USA inataka niwe rais wa Tanzania 2015

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by J4MAYOKA, Jan 5, 2012.

 1. J

  J4MAYOKA Senior Member

  #1
  Jan 5, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
  Huyu naye juzi kwenye "party" aliyoifanya pale kwake usiku aliamua kueleza wazi kwa watu wake kuwa serikali ya USA imempitisha kuwa ndiye aje kuwa rais wa TZ 2015

  Sasa kama mjuavyo mheshimiwa pesa anayo lakini je hiii kutuambia kuwa serikali ya USA inamtaka aje kuwa rais wetu inaingia akilini kweli?

  Kumbe zile tripu zake za kwenda "kula DINA" kwa balozi usiku ni za ku lobi apitishwe na serikali ya Jaluo awe rais wetu?

  sasa je mmejiandaa vipi wana JF na "RAIS" Lazaro Nyalandu? Je kati ya Membe, Lowasa na Nyalandu nani anafaa zaidi?


   
 2. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #2
  Jan 5, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kwani lazima tuwe na Rais?
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Jan 5, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,225
  Trophy Points: 280
  who is USA? Atoe upupu hapa
   
 4. J

  J4MAYOKA Senior Member

  #4
  Jan 5, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mwenyewe ndio anawaambia wamarekani kuwa Ukanda wa ziwa wote ni wake na ni mgombea ambaye hana kashfa

  sasa sijajua kama kinachomshaua ni hiyo green card aliyonayo au sijui ni tamaa na ushamba wa kutaka urais kama Lowasa ndio unamwendesha mbio
   
 5. ntogwisangu

  ntogwisangu JF-Expert Member

  #5
  Jan 5, 2012
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 516
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  rais ni steven wasira 2015
   
 6. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #6
  Jan 5, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Huyo si ndio bogus kuliko hata jk.
   
 7. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #7
  Jan 5, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  lazima wamfurahie kwa jins anavyowateteaga kuhusu misamaha ya kodi....
  Binafsi sioni umuhimu wake hata kuwa diwani
   
 8. A

  Alpha JF-Expert Member

  #8
  Jan 5, 2012
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 614
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  I swear this country is cursed.... who is this idiot!!!! :embarassed2:
   
 9. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #9
  Jan 5, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Hahaha! Huyu shemeji wa UKWATA ana mambo! Hakui!
   
 10. ZionTZ

  ZionTZ JF-Expert Member

  #10
  Jan 5, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,276
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Haka kajamaa kana hela na ni ka kichwa kwelikweli lakini kuwa raisi??? Noooooooooooo
   
 11. J

  J4MAYOKA Senior Member

  #11
  Jan 5, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Labda he is taking MLK I have a DREAM speech seriously
   
 12. J

  J4MAYOKA Senior Member

  #12
  Jan 5, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hicho kichwa kimefanya nini kuzuia viwanda visifungwe kwa sababu ya umeme?

  Hayo machimbo yake ya dhahabu ndio yanakutisha?
   
 13. p

  punainen-red JF-Expert Member

  #13
  Jan 5, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,735
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Na Tz inataka nani awe rais wa USA term ijayo???
   
 14. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #14
  Jan 5, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,604
  Likes Received: 4,727
  Trophy Points: 280
  Ina maana watanzania ni mataahira hawawezi kujua nani anafaa kuwaongoza mpaka wachaguliwe rais na USA? UPUUZI MTUPU.
   
 15. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #15
  Jan 5, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Is this kind of a joke or what?
   
 16. J

  J4MAYOKA Senior Member

  #16
  Jan 5, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Faraja Kota ndiyo mkewe

  na possibly ndio mshauri wake mkuu maana tunaambiwa behind every successful politician....
   
 17. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #17
  Jan 5, 2012
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,503
  Likes Received: 2,744
  Trophy Points: 280
  Mmemwelewa vibaya, jamaa alikuwa anamaanisha USA RIVER ya kule Arusha!!!
   
 18. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #18
  Jan 5, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160

  Si lazima Rais atoke CCM.......Wote hawafai
   
 19. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #19
  Jan 5, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  With smilling face like our presidaaa,...pumbafuuuuuuuuuu tokaaaaaaaaaaaaaaaa
   
 20. kadeti

  kadeti JF-Expert Member

  #20
  Jan 5, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 489
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  jamaa anajitabiria
   
Loading...