Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa siku kadhaa kumekuwa na gumzo kuhusu maandamano ya Dec 9. Watanzania wengi tulitarajia baada ya kilichotokea Oct 29, serikali ingekuja na mikakati mipya, yenye hekima na inayostahili nchi...
8 Reactions
12 Replies
683 Views
Msemaji Mkuu wa Idara ya Uhamiaji Tanzania na Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano, Paul John Mselle ametoa ufafanuzi kuhusu kampeni mpya ya “Mjue Jirani Yako”, akisema inalenga kuongeza usalama wa...
0 Reactions
5 Replies
251 Views
Mkutano mkuu wa CCM ukiongozwa na Ndugu Samia umefanyikia kwenye mahema na sio Ikulu wala kwenye Ofisi za Chama Kama nilivyowaambia ndugu zangu huu utawala unakaribia kusambaratika kabisa, hakuna...
17 Reactions
57 Replies
3K Views
Ford Foundation ni moja ya Taasisi inayotajwa na watawala kuwa imefadhili maandamano. Maandamano sio kosa la kisheria kwenye nchi zote zinazojali utawala Bora ni haramu Kwa madikteta na viongozi...
5 Reactions
8 Replies
224 Views
JE WAJUA?Kuzimwa kwa mtandao ni kizuizi cha haki za msingi za wananchi na uhuru wa kupata taarifa.Vifungu vya Kitaifa: Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ✅Ibara ya 18 – haki ya kutafuta...
1 Reactions
0 Replies
172 Views
Wanaolipwa kuua raia ni jeshi la polisi na wanatekeleza hilo kwa faida ya wezi wa mali za umma ambao wengi wao wana uraia wa nchi mbili Wao wakishaua watabaki hapa hapa lakini wenza wao...
2 Reactions
5 Replies
236 Views
Nimesikia leo kupitia kwa Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba kuwa umeagiza Polisi wasimkamate Askofu Gwajima. Naleta ombi tena kwako mkuu uwaagize polisi wamuachie Polepole. Kingine nakukumbusha kuhusu...
2 Reactions
21 Replies
611 Views
Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Ado Shaibu, amesema kukosekana kwa Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi kumeendelea kuwa chanzo cha wananchi wengi “kulia...
0 Reactions
1 Replies
221 Views
"Kuna watu wakiwemo wazee wanatengeneza orodha ya nani na nani watashiriki kwenye maridhiano baada ya hii kitu kinaitwa uchaguzi mkuu mimi naita kiini macho watakao shiriki kwenye maridhiano...
3 Reactions
1 Replies
277 Views
Nimepokea ujumbe kutoka kwa mtu aliyejitambulisha kuwa kaka yake Lucy Simon Shayo akinieleza kukamatwa tena kwa Lucy akiwa mkoani Tanga. "Kiongozi kwema Lucy Shayo (binti Lissu) amekamatwa jana...
2 Reactions
7 Replies
394 Views
Samahani sana kama nitawakwaza kwa kusema 'Tanzania ina vijana wajinga sana'. Chanzo chao cha habari za kuaminika ni Millard Ayo. Chanzo chao cha maarifa na Elimu ni Mange kimambi. Vijana wa...
4 Reactions
21 Replies
988 Views
Ndugu Watanzania, Katika kipindi hiki ambacho hisia zimepanda, sauti zimegawanyika, na tumaini limeanza kuyumba, tunalazimika kurejea kwenye msingi mmoja unaotufanya tuwe taifa: Amani, utu na...
0 Reactions
2 Replies
255 Views
Hamjambo! 1. Mwezi huu uwe mwezi wenye Baraka na Neema ya Mungu naam yule MUNGU Mwenye Nguvu nyingi aliyetuumba wote. 2. Mwezi huu Mungu atuepushe na Mabaya na kushindwa na adui zetu. 3. Wokovu...
5 Reactions
7 Replies
283 Views
Pórojo zenu tumezikataaa. Maandamano yako Palepale !!. Mtajua Watanzania wwanalipwa au vipi
10 Reactions
26 Replies
1K Views
ICC wamenithibitishia kuwa tiyari wana barua kadhaa kutoka kwa watanzania akiwemo mzee Malisa ambae ndiye alielianzisha ambazo zalingana na barua yangu na kwamba wapo wakisubiri barua zaidi na...
124 Reactions
123 Replies
8K Views
Ndugu zangu, Hakuna taifa kubwa duniani lililojengwa kwa kutegemea huruma ya mataifa mengine. Hakuna taifa lililotukuka kwa kuamini kuwa uchumi wake unaweza kuendeshwa na wachache wanaotafuta...
1 Reactions
3 Replies
209 Views
Walahi miye sijui hehee. Gwajima nilipokea shukrani zako miye sina baya wanijua. Walahi usingehama pale wangekukula kichwa. Leo nimepita mule Tengeru mayii wanahaha. Wapagawa vile vibaya. Kesho...
2 Reactions
11 Replies
650 Views
Kuna kelele zinaendelea mitandaoni kuhusu mtoto wa Rais aitwaye Abdul. Kelele hizi japo hazina ukweli wala uthibitisho ila zina kila dalili ya kuwa na uhalisia kwa kiasi flani Kelele zilianza...
10 Reactions
21 Replies
3K Views
Mnaleta mchezo wa kitoto! Kuna watu wamesingiziwa uhaini apart from Lisu, wanaoza na vidonda kwenye mahabusu za polisi na Magereza ,leo unaleta story ya Gwajima! Jitafakari!
10 Reactions
28 Replies
864 Views
Tangu nchi hii ipate uhuru Rais Samia ni Rais bora sana. Rais mwenye utu mkuu. Vijana mliookosa ramani kuanzia 2015-2021 kipindi cha Magufuli ni kama vile zama zenu zimepita. Kila jambo na wakati...
2 Reactions
12 Replies
480 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…