Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padri Charles Kitima, akizungumza na vyombo vya habari leo Desemba 1, 2025, amesema kuwa matukio yaliyotokea nchini hivi karibuni wakati wa...
3 Reactions
6 Replies
447 Views
Uzuri hoja za Padri ziko sahihi na zimenyooka na niza moto kweli kweli. Ila kuanzia kesho tutarajie kuona wale walio lipwa na wahuni wa kijani kuja kumshambulia badala ya kujibu hoja. Wataanza...
23 Reactions
23 Replies
818 Views
Watanzania wengi wanapenda kuamini kwamba vyama vya siasa ndio injini za maendeleo: CCM, CHADEMA, ACT-Wazalendo, CUF, TLP, ADA-orodha ndefu, matumaini machache. Wanapenda kufikiri kwamba...
2 Reactions
11 Replies
381 Views
9 desember ni mpango wa Mungu inaongea vitu ving kwa pamoja Kwanza ni arobain ya watu waliouwawa tarehe 29 mwez wa 10 9 desember inatimia siku ya 40 mwisho wa msiba Ukifungua biblia zabur 9...
2 Reactions
4 Replies
309 Views
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima amesema anashangazwa kuona Mamlaka zinathamini vitu kuliko uhai wa Watu ambapo wametoa takwimu za vitu...
7 Reactions
11 Replies
493 Views
Mamia ya watalii wakiondoka nchini Tanzania kukimbia maandamano ya Disemba 9 na utekaji unao endelea nchini. Hapa ni Julius Kambarage Nyerere International Airport, Dar Es Salaam. Hii ni usiku wa...
30 Reactions
75 Replies
3K Views
Watanzania husani vijana tuendelee kuchapa kazi nchi iko salama kwa vyombo vya ulinzi jinsi vinavyofanya kazi kwa sasa mpaka kwa muuza kahawa na mcheza bao mtaani. Nimesikia mwanaharakati mmoja...
0 Reactions
50 Replies
1K Views
TEC imekuwa ikipinga utekaji ambao umekuwa ukifanywa na CCM, ila CCM yenyewe imekuwa haitaki kupingwa na yeyote kuhusu mambo hayo haramu TEC imekuwa ikiishauri CCM kuwa, si vizuri wapinzani...
1 Reactions
7 Replies
321 Views
NINAFIKIRI KIJINGA!? 1.Kwamba kuna kijana kapewa Bilion Sita? Yuko huko Afrika Kusini? Kwa hiyo alipopewa akawaambia Mwambegele na wenzake tumieni Kanuni Kuiondoa CHADEMA kwenye Uchaguzi Kinyume...
10 Reactions
8 Replies
609 Views
Askofu wa CHADEMA Mwamakula kaandika hivi kwenye ukurasa wake wa Facebook; __________________________ GEN Z WALIOMUINGIZA MUSEVENI IKULU! Edith (15) mmoja wa ma Gen Z wa Museveni akilinda...
0 Reactions
8 Replies
319 Views
Jeshi la Polisi limetoa taarifa rasimi ya kuwakamata watu 14 ikiwemo baadhi ya Viongozi wa Chadema, Mwenyekiti Freeman Mbowe, Lissu na Lema, ambapo wamedai kuwa viongozi hao wamekamatwa kufuatia...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Hii route punde itapata abiria wengi kuanzia business class na economy. Maombi ya vibali yapo mezani kwa vyombo huko EU.
4 Reactions
12 Replies
345 Views
Nyie huyu Gwajima sio jasusi kweli?, amewezaje kuwatoa Jasho polisi na watekaji hadi sasa hawajui alipo, huu msamaha ni mtego wamnase tu ila najua Gwaji boy ni mjanja kashawasoma kitambo sana...
22 Reactions
58 Replies
2K Views
Nimemsikia Rais Mama Samia anasema kila mbuzi hula kutokana na urefu wa kamba yake akiwambia kikao na Mawaziri wake, sijuwi amemaanisha nini kwamba mawaziri sasa wataanza kugawana rasilimali na...
17 Reactions
393 Replies
34K Views
Mchakato wa kura za maoni ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) wa kumpata mgombea wa Umeya wa Jiji la Dar es Salaam umeingia katika sura mpya baada ya matokeo kumuibua Nurdin Juma (Shetta) kuwa...
4 Reactions
16 Replies
744 Views
Asshukuriwe Mungu Marais karibu Dunia yote ni watu wazima, wazee wenye busara. Mimi ndo ningekuwa Rais na vijana waliotekwa akili na Mange kimambi wanashangilia vikwazo ningeigeuza TRA iwe jeshi...
1 Reactions
18 Replies
510 Views
Hamjambo Wote! 1. Kuna watu Wana mawazo ya kizamani Sana. 2. Kuwa kwako Mchungaji au sheikhe haikufanyi uwe Special sana kwamba ukifanya mambo yasiyoeleweka watu wasiseme. 3. Au kuwa kiongozi...
2 Reactions
2 Replies
229 Views
"Tulisema haya yasipozingatiwa nchi haitakaa salama tunaelekea pabaya. Tuliongea taifa linaelekea pabaya tulishaona, lakini kupuuza viongozi wa dini ni hatari sana kwa sababu viongozi wa dini...
1 Reactions
3 Replies
233 Views
Mwongozo Muda wa kukutana ni saa moja kamili asubui, Vitu vya msingi 1, Vaa mavazi mepesi ya mazoezi na uwe na maji ya kutosha, 2, Beba bendera ya nchi na bango kama hauna sio lazima, 3, Kuwa...
0 Reactions
0 Replies
236 Views
Jana Chama cha mapinduzi CCM kimefanya uteuzi wa wagombea nafasi za Umeya, na wenyeviti katika Halmashauri za Wilaya, Miji, manispaa na majiji hapa nchini. Katika Mkoa wa Simiyu, Halmashauri ya...
1 Reactions
6 Replies
382 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…