Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sijaelewa na sioni naeleweshwa vipi. Baada ya kuvuruga uchaguzi mkuu, mkatumia nguvu kubwa kuua wananchi wetu, mkaagiza wabakwe na kulawatiwa kama silaha ya dola. Mkakufuru miili ya watoto wetu na...
63 Reactions
45 Replies
2K Views
Maajabu hayaishi na tumepatwa kweli kweli. WHO THEY ARE 1. MILITARY SUPER POWERS 2. ECONOMIC SUPER POWERS 3. Wana nguvu ya kijeshi, wakiamua leo unauachia urais na ukienda kwa wajomba arabuni...
10 Reactions
17 Replies
478 Views
Inabidi viongozi kujua kuwa approach ya ku-deal na kizazi cha sasa haiwezi kuwa kama ya zamani. Hii ni aina flani ya advocacy inafanywa kwa namna inayochekesha lakini inafikisha ujumbe kwa...
16 Reactions
37 Replies
2K Views
Diwani wa kata ya Mchikichini Nurdin Bilal Juma, maarufu kama Shetta, ametangazwa rasmi kuwa Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam leo Desemba 04, 2025, baada ya kupata ushindi katika kikao cha...
1 Reactions
32 Replies
2K Views
Hii ni kwenye siasa wanasema tofauti ni kwamba Singida watoto wao walikuwa wanapelekwa shule za kaskazini kama Ilboru, Weruweru ndiyo imechangia Kitima, Mkumbo, Lissu, Nyalandu, Mwugulu na...
0 Reactions
2 Replies
195 Views
Kama wanafikiri wako sahihi na kwamba huo ndio uzalendo, muda utawapa funzo siku si nyingi pale kila mtu atapoanza kuathirila kwa namna moja au nyingine. Mfano, watakosa madaktari wa kuwatibu...
3 Reactions
2 Replies
146 Views
Tanzania huenda ikaanza kufikiria kujiondoa kwenye Mkataba wa Roma unaoiunda Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC). Mjadala huu umechochewa zaidi na wito uliotolewa hivi karibuni kwa...
3 Reactions
37 Replies
2K Views
Mpaka sasa watu wana ushahidi wa kila kitu kinachofanywa na Serikali yake. Kuanzia kuteka watu na kukana, kuuwa watu na kukana, kupoteza watu na kukana hadi kuwafungulia mashtaka ya uongo ili...
4 Reactions
12 Replies
419 Views
Hata kwenye Biblia walikuwepo manibii kama Elisha na Eliya walipinga uonevu na ufisadi. TEC wanapinga utekaji, wizi wa mali za umma na nepotism ya hali juu. Mfano Dp World kupewa usimamizi wa...
5 Reactions
8 Replies
347 Views
Baada ya kuona Watanganyika hatukutaki, baada ya kuona Dunia imekukataa naona usivyo na akili umeamua kupandikiza mbegu ya udini ili ututoe Watanganyika kwenye mstari. Usichokijua ni kwamba...
28 Reactions
57 Replies
1K Views
=============================== Mwenyekiti CHADEMA(T)Tundu Lissu anasema; "....Msikubali kupita njia isiyo na haki. Mimi niko imara na sina shida hapa nilipo! Mimi nikifia humu jela, lakini...
25 Reactions
27 Replies
1K Views
NImeshidwa kuamini lakini ndiyo ukweli ulivyo kuna kundi linaromuharibia mama ili achukiwe na wanainchi na tayali limefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana, lengo lao atoke madarakani iwe kwa hiari yake...
7 Reactions
85 Replies
3K Views
Salaam! Ilitabiriwa tangu 2020 kwamba uchaguzi wa mwisho secular ni ule wa Lowassa vs Magu. Baada y hapo, kuanzia 2021 Hadi 2030 ni mkono wa chuma tu na kukimbizana. Move background ni...
8 Reactions
16 Replies
840 Views
Mwezi Novemba, 2025 Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imefanya operesheni mbalimbali zilizofanikisha ukamataji wa jumla ya kilogramu 3,799.22 za dawa za kulevya...
0 Reactions
1 Replies
244 Views
MOU hiyo ilisainiwa mwaka 1992 na taasisi mbili kubwa: Christian Council of Tanzania (CCT) na Tanzania Episcopal Conference (TEC). Kupitia makubaliano hayo, serikali ilikubali rasmi kwamba...
10 Reactions
151 Replies
4K Views
Matamko ya juzi yameitenga kabisa Tanzania na Dunia Imefika hatua mpaka waafrica wenzetu ( Ghana ) wanatoa tamko kuhusu hali ya Tanzania, na sasa kidogo kidogo tumeenza kukataliwa nje ya Africa...
5 Reactions
17 Replies
598 Views
Mchungaji Hananja Aongea kwa uchungu mtoto wangu Anamajeraha Amejerihiwa NUSU AFE Kuweni na Utu. Ikumbukwe kuwa huyu mchungaji ndie aliefungua kampeni zao hapo Dar
13 Reactions
32 Replies
1K Views
Nguvu yake ilianza from the grassroots (wananchi). Alikuwa ni mtu wa watu. Hakupenda mtu aonewe bila sababu yoyote. Ndiyo maana pamoja na kuwanyali mabeberu, aliweza kutoboa katika uongozi wake...
2 Reactions
2 Replies
136 Views
Ni wazi sasa Tanzania tumeshaamua kufuata upepo wa mashariki kibiashara na kisiasa. Niko nchi fulani ya Asia nakutana na wachina wengi sana aisee wanaipenda sana Tanzania kuja kuwekeza hata hawana...
1 Reactions
11 Replies
260 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…