Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu kiukweli nasikitika kuona viongozi wakiendelea kuonesha kutojali yaliyotokea. Kanda ya Ziwa bado inaonekana vijana hawapo tayari kuweka silaha chini. Baadhi ya mitandao ya kijamii vijana...
6 Reactions
9 Replies
599 Views
Mnakumbuka kipindi cha Magufuli vimemo vya vi organizations mbalimbali vilivyotolewa na majibu ya MAGUFULI? Baadaye wakijua kuwa unajiamini na hitishiki wanaendelea kumwaga pesa maisha yanasonga...
4 Reactions
28 Replies
643 Views
Gen Z upepo wao unavuma muda wowote! Kwahiyo usishangae ukawaona tena! ============ Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo amekagua Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kisesa iliyopo Halmashauri ya Wilaya...
0 Reactions
5 Replies
341 Views
Kila kona watu wana hofu na wanahisi huenda kukawa na machafuko makubwa. Naambiwa na jamaa yangu mmoja kuwa Geita Gold Mining imesitisha uzalishaji kwa siku nane. Mpaka habari hii ya machafuko ya...
19 Reactions
45 Replies
2K Views
Ni Serikali haramu pekee tangu uhuru baada ya uchaguzi yenyewe ipo kwenye mgogoro mkali na wananchi na dunia ni kwasababu ni wasaliti wa nchi na haramu. Mgogoro hatimae unazaa maandamano makubwa...
1 Reactions
3 Replies
223 Views
Ndugu zangu wa Arusha na Tanzania kwa ujumla, ngoja niseme kwa hekima lakini bila kupaka sukari maana tumefika pahala ambapo ukimya wetu umeanza kutuua kiuchumi, kisa tu decision za mtu mmoja...
3 Reactions
0 Replies
236 Views
Ni kawaida ya binadamu kutaka mabadiliko hata watawaliwe vizuri namna gani. Wana Waisraeli walikuwa wanatawaliwa na Mungu mwenyewe. Wakachoka, wakasema na sisi tunataka mfalme. Wakapewa Sauli. So...
1 Reactions
0 Replies
171 Views
Kuna vijana Libya walikuwa front line kuhakikisha Gaddafi anaondolewa Libya bila ya kujua kuwa nyuma yao kuna nguvu ovu inawasukuma. Vijana wengi wa Libya walipambana na serikali yao wakijidhani...
1 Reactions
29 Replies
909 Views
Kiburi cha wanadamu chatoka wapi? Kwa sababu wewe una cheo fulani na vile unapojiangalia unaona umezungukwa na ulinzi mkali, umezungukwa na kila aina ya silaha ndio sababu ya kuwadhihaki...
0 Reactions
0 Replies
148 Views
Katika historia ya mataifa, kuna vipindi ambavyo misingi ya utawala imara huonekana kufifia, taasisi zikaishiwa nguvu, na kauli za viongozi zikaanza kutengeneza mipasuko ndani ya jamii badala ya...
5 Reactions
7 Replies
528 Views
watu wamejisimika madarakani kinyume cha sheria eti wanaita maandamano ni vurugu wakati wameuwa na kupindua nchi waache wajitoe akili. Sisi tutawazibua masikio na kuwafukuza au kuwakamata D9
7 Reactions
8 Replies
255 Views
Walianza na kauli moja. Tunaingiza vikosi kulinda wananchi wasionewe na kuumizwa na serikali yao. Hapa ndipo walipo December hii.
4 Reactions
19 Replies
844 Views
Wenzenu watakuwa nje ya nchi na familia zao wakiwaangalia kwenye TV, wakati ninyi mnapambana na raia ambao hata baada ya masaa ya kazi mnaenda kuishi nao huko mitaani. Mwenye masikio na asikie...
0 Reactions
1 Replies
163 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema kuwa watu wanaosafiri kwenda mikoani ni jambo la kawaida linalotokea kila mwaka, na si kitu cha kushangaza au kuhusishwa na sababu...
0 Reactions
0 Replies
201 Views
Hili taifa lina viongozi wasiofaa. Na hawajifunzi mpaka mmoja aje aone mkono wa Mungu. Mtu anavamiwa baada ya umeme kukatika anatoa malalamiko yake anaambiawa atachukuliwa sheria mkononi Hivi...
4 Reactions
5 Replies
217 Views
Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi CCM imetoa tamko leo Disemba 5, 2025 jijini Arusha, ikiwataka Watanzania kuacha vitendo vya vurugu na uharibifu wa mali za umma na binafsi, ikisisitiza...
1 Reactions
7 Replies
227 Views
Jeshi la Polisi Tanzania limepiga marufuku “maandamano ya amani yasiyo na kikomo,” yaliyotangazwa kufanyika Desemba 9, 2025, likisema yamekosa sifa za kisheria na yanaashiria mipango ya uhalifu...
0 Reactions
5 Replies
455 Views
Hivi unajiuliza haya iliyokuwa inayafanya CCM kuanzia kutoa hongo, kununua wapinzani,kuteka watu, kuuwa wapinzani mpaka kuja kuuwa maelfu kwenye maandamano bado kuna mijitu inamtetea huyu Mama...
6 Reactions
17 Replies
503 Views
Back
Top Bottom