Kamalizwa na nduguye

Kamalizwa na nduguye

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
370,964
Reaction score
858,918
Padri Kitime kanyooka Sana! Hakutaka konakona wala pindapinda kama pindo la kaniki😀🙌🏿

Kaweka wazi, ulikuwa mwaliko binafsi na mazungumzo yalikuwa binafsi! Hasa ikizingatiwa wanatoka sehemu moja
Alimpigia simu akimuomba afike ofisini naye akatii, wakaongea pia yaliyotokea October 29 na way forward! 'Lakini yalikuwa mazungumzo binafsi' kwa maana ambayo haikunenwa ilikuwa ni personal consultation

Mjamaa alikuwa anataka aibiwe siri pia baraza linasemaje huko.. Padre Kitima kaweka wazi pia... Jamaa ana mahusiano mazuri ya kitambo na wao!😎

Padre hakutaka kuonekana mzushi na ndumilakuwil! Hii ni kwa maslahi yake binafsi, taasisi anayoitumikia na nafasi aliyo nayo! Nyeupe kaita nyeupe na nyekundu kaita nyekundu.. Kafanya vema Sana na maswali yatakoma LAKINI kamharibia mwana vibaya Sana

Pengine kalijua hilo ama la lakini ilibidi ajiponye yeye kabla ya kumponya mwingine.. Bahati mbaya Sana ponya ya mwingine imeponyoka!

Kwa ile press ya jana na namna taasisi ilivyobagazwa unadhani mwanetu muda huu atakuwa na hali gani?

View: https://www.facebook.com/share/v/14UdcQxEerj/
 
TEC iko kuanzia miaka ya mkoloni 1956 na imekuwa na ma Katibu Wakuu wengi tu. Lakini Katibu Mkuu Fr Charles Kitima ndiye maarufu. Umaarufu wake unatokana na kujikita kwenye siasa badala ya kazi ya kuongoza roho za waumini wa RC.

Ni bora tu avue kanzu avae magwanda ya khaki kama Lissu na Dr Slaa halafu aje apambane na wanasiasa wenzie. Waumini tunatoa sadaka na zaka kwa ajili ya kujenga kanisa ikiwa ni pamoja na kuwatunza mapadre wetu. Lakini huyu Kitima anatumia sadaka zetu kutetea itikadi yake ya kisiasa
 
TEC iko kuanzia miaka ya mkoloni 1956 na imekuwa na ma Katibu Wakuu wengi tu. Lakini Katibu Mkuu Fr Charles Kitima ndiye maarufu. Umaarufu wake unatokana na kujikita kwenye siasa badala ya kazi ya kuongoza roho za waumini wa RC.

Ni bora tu avue kanzu avae magwanda ya khaki kama Lissu na Dr Slaa halafu aje apambane na wanasiasa wenzie. Waumini tunatoa sadaka na zaka kwa ajili ya kujenga janusa ikiwa ni pamoja na kuwatunza mapadre wetu. Lakini huyu Kitima anatumia sadaka zetu kutetea itikadi yake ya kisiasa
Acha kutumia makamasi kufikiri. Wapi hapo kuna itikadi za kisiasa. Kusema ukweli watu wameuwawa. Ufisadi wa bandari kupitia Dp world. Kuteka watu kama kuku?
 
Padri Kitime kanyooka Sana! Hakutaka konakona wala pindapinda kama pindo la kaniki😀🙌🏿
Kaweka wazi, ulikuwa mwaliko binafsi na mazungumzo yalikuwa binafsi! Hasa ikizingatiwa wanatoka sehemu moja
Alimpigia simu akimuomba afike ofisini naye akatii, wakaongea pia yaliyotokea October 29 na way forward! 'Lakini yalikuwa mazungumzo binafsi' kwa maana ambayo haikunenwq ilikuwa ni personal consultation

Mjamaa alikuwa anataka aibiwe siri pia baraza linasemaje huko.. Padre Kitima kaweka wazi pia... Jamaa ana mahusiano mazuri ya kitambo na wao!😎

Padre hakutaka kuonekana mzushi na ndumilakuwil! Hii ni kwa maslahi yake binafsi, taasisi anayoitumikia na nafasi aliyo nayo! Nyeupe kaita nyeupe na nyekundu kaita nyekundu.. Kafanya vema Sana na maswali yatakoma LAKINI kamharibia mwana vibaya Sana

Pengine kalijua hilo ama la lakini ilibidi ajiponye yeye kabla ya kumponya mwingine.. Bahati mbaya Sana ponya ya mwingine imeponyoka!

Kwa ile press ya jana na namna taasisi ilivyobagazwa unadhani mwanetu muda huu atakuwa na hali gani?

View: https://www.facebook.com/share/v/14UdcQxEerj/

Mwigulu alisema wameshaanza kufanya maridhiano na tayari ameshakutana na viongozi wa Tec. Tec hawanunuliki kwa mwaliko na kikombe cha chai.
 
TEC iko kuanzia miaka ya mkoloni 1956 na imekuwa na ma Katibu Wakuu wengi tu. Lakini Katibu Mkuu Fr Charles Kitima ndiye maarufu. Umaarufu wake unatokana na kujikita kwenye siasa badala ya kazi ya kuongoza roho za waumini wa RC.

Ni bora tu avue kanzu avae magwanda ya khaki kama Lissu na Dr Slaa halafu aje apambane na wanasiasa wenzie. Waumini tunatoa sadaka na zaka kwa ajili ya kujenga janusa ikiwa ni pamoja na kuwatunza mapadre wetu. Lakini huyu Kitima anatumia sadaka zetu kutetea itikadi yake ya kisiasa
Tanganyika iko mikononi mwetu kuanzia mwaka 1961,lakini Samia ndo maarufu na muuaji wa watanganyika wengi kuliko rais yeyote .

Na haya mambo ndo yamemfanya kitima ajitokeze kukemea.

Acheni kuteka na kuua watanganyika muone kama kitima atapata coverage
 
Kwa ile press ya jana na namna taasisi ilivyobagazwa unadhani mwanetu muda huu atakuwa na hali gani?
huyo Mwigulu mwenyewe ni mbaya zaidi pengine hata kumshinda Samia.

Ni dhahili, huyo Waziri Mkuu FEKI nia yake ilikuwa ni kumtumia padre kama wakala wa PRs kusaidia kusafisha uchafu uliofanywa na Samia.

Inawezekana sana kuwa Padre bado kamsetiri huyo Madilu kwa mambo mengine machafu zaidi .

kundi hili wanaamini sana kuwanunua watu kama bidhaa mradi tu wafanikishe malengo yao ya kukaa kwenye utawala kwa nguvu. Inawezekana padre kaahidiwa fungu, lakini kakataa kuwa bidhaa. Hayo asingeweza kuyaweka bayana kwenye taarifa hiyo na waandishi wa habari.
 
TEC iko kuanzia miaka ya mkoloni 1956 na imekuwa na ma Katibu Wakuu wengi tu. Lakini Katibu Mkuu Fr Charles Kitima ndiye maarufu. Umaarufu wake unatokana na kujikita kwenye siasa badala ya kazi ya kuongoza roho za waumini wa RC.

Ni bora tu avue kanzu avae magwanda ya khaki kama Lissu na Dr Slaa halafu aje apambane na wanasiasa wenzie. Waumini tunatoa sadaka na zaka kwa ajili ya kujenga janusa ikiwa ni pamoja na kuwatunza mapadre wetu. Lakini huyu Kitima anatumia sadaka zetu kutetea itikadi yake ya kisiasa
MAUAJI na WIZI siyo SIASA
 
uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo mnataka mpambane na akili kubwa mtaweza?
 
TEC iko kuanzia miaka ya mkoloni 1956 na imekuwa na ma Katibu Wakuu wengi tu. Lakini Katibu Mkuu Fr Charles Kitima ndiye maarufu. Umaarufu wake unatokana na kujikita kwenye siasa badala ya kazi ya kuongoza roho za waumini wa RC.

Ni bora tu avue kanzu avae magwanda ya khaki kama Lissu na Dr Slaa halafu aje apambane na wanasiasa wenzie. Waumini tunatoa sadaka na zaka kwa ajili ya kujenga janusa ikiwa ni pamoja na kuwatunza mapadre wetu. Lakini huyu Kitima anatumia sadaka zetu kutetea itikadi yake ya kisiasa
Wewe hujawahi toa sadaka bwana!
Hata sadaka ya luku na maji hujawahi zidisha buku!
Wewe si mkatoliki!
Mkatoliki halalamiki kutoa sadaka!
Kwake sadaka ni ya kuteketezwa!
 
TEC iko kuanzia miaka ya mkoloni 1956 na imekuwa na ma Katibu Wakuu wengi tu. Lakini Katibu Mkuu Fr Charles Kitima ndiye maarufu. Umaarufu wake unatokana na kujikita kwenye siasa badala ya kazi ya kuongoza roho za waumini wa RC.

Ni bora tu avue kanzu avae magwanda ya khaki kama Lissu na Dr Slaa halafu aje apambane na wanasiasa wenzie. Waumini tunatoa sadaka na zaka kwa ajili ya kujenga janusa ikiwa ni pamoja na kuwatunza mapadre wetu. Lakini huyu Kitima anatumia sadaka zetu kutetea itikadi yake ya kisiasa
Wewe hata hela ya sadaka huna.
 
Padri Kitime kanyooka Sana! Hakutaka konakona wala pindapinda kama pindo la kaniki😀🙌🏿
Kaweka wazi, ulikuwa mwaliko binafsi na mazungumzo yalikuwa binafsi! Hasa ikizingatiwa wanatoka sehemu moja
Alimpigia simu akimuomba afike ofisini naye akatii, wakaongea pia yaliyotokea October 29 na way forward! 'Lakini yalikuwa mazungumzo binafsi' kwa maana ambayo haikunenwq ilikuwa ni personal consultation

Mjamaa alikuwa anataka aibiwe siri pia baraza linasemaje huko.. Padre Kitima kaweka wazi pia... Jamaa ana mahusiano mazuri ya kitambo na wao!😎

Padre hakutaka kuonekana mzushi na ndumilakuwil! Hii ni kwa maslahi yake binafsi, taasisi anayoitumikia na nafasi aliyo nayo! Nyeupe kaita nyeupe na nyekundu kaita nyekundu.. Kafanya vema Sana na maswali yatakoma LAKINI kamharibia mwana vibaya Sana

Pengine kalijua hilo ama la lakini ilibidi ajiponye yeye kabla ya kumponya mwingine.. Bahati mbaya Sana ponya ya mwingine imeponyoka!

Kwa ile press ya jana na namna taasisi ilivyobagazwa unadhani mwanetu muda huu atakuwa na hali gani?

View: https://www.facebook.com/share/v/14UdcQxEerj/

Msema kweli utamweka huru
 
uwezo wa kufikiri vilaza hawa upo chini sana,juzi kitima kaweka mtego kidogo tu jana bibie kajaa kwenye vyavu kaueleza ulimwengu kuwa yeye ndiye aliyeruhusu mauaji ya maelfu ya watanganyika sasa huyu akifika icc si atatapika kila kitu.View attachment 3510711
Kwa hiyo huyo dogo chini ya miaka 12 alitaka kupindua Nchi?
 
"Kamalizwa na nduguye."

Huyo ni ndugu wa namna gani anayetafuta kumhadaa na kumtumia nduguye kusafisha uchafu?

Mwigulu yupo 'desperate' sana na hii nafasi FEKI ya Waziri Mkuu aliyopewa.

Inawezekana ule uwaziri wa fedha alitumika sana kufunika mauchafu mengi kuhusu pesa za nje kuingizwa ndani; ndiyo ikawa zawadi ya Uwaziri mkuu FEKI!
Kuna siku mambo haya yatajifunua tu, watu watajuwa.
 
Padri Kitime kanyooka Sana! Hakutaka konakona wala pindapinda kama pindo la kaniki😀🙌🏿
Kaweka wazi, ulikuwa mwaliko binafsi na mazungumzo yalikuwa binafsi! Hasa ikizingatiwa wanatoka sehemu moja
Alimpigia simu akimuomba afike ofisini naye akatii, wakaongea pia yaliyotokea October 29 na way forward! 'Lakini yalikuwa mazungumzo binafsi' kwa maana ambayo haikunenwq ilikuwa ni personal consultation

Mjamaa alikuwa anataka aibiwe siri pia baraza linasemaje huko.. Padre Kitima kaweka wazi pia... Jamaa ana mahusiano mazuri ya kitambo na wao!😎

Padre hakutaka kuonekana mzushi na ndumilakuwil! Hii ni kwa maslahi yake binafsi, taasisi anayoitumikia na nafasi aliyo nayo! Nyeupe kaita nyeupe na nyekundu kaita nyekundu.. Kafanya vema Sana na maswali yatakoma LAKINI kamharibia mwana vibaya Sana

Pengine kalijua hilo ama la lakini ilibidi ajiponye yeye kabla ya kumponya mwingine.. Bahati mbaya Sana ponya ya mwingine imeponyoka!

Kwa ile press ya jana na namna taasisi ilivyobagazwa unadhani mwanetu muda huu atakuwa na hali gani?

View: https://www.facebook.com/share/v/14UdcQxEerj/

Machawa hawana rafiki ila damu na uchafu mwanangu. Hapo, hapakuwa na ndugu bali mmoja binadamu na wenginewe chawa.
 
Mwigulu alisema wameshaanza kufanya maridhiano na tayari ameshakutana na viongozi wa Tec. Tec hawanunuliki kwa mwaliko na kikombe cha chai.
Hii ndo Kauli ambayo ilimuweka Fr Kitima kwenye nafasi ngumu ikabidi atoke adharani, inaonekana baraza la maaskofu walimuuliza kuwa ulienda kuonana na uyu mtu ili kuanzisha maridhiano kwa niaba yetu? Ikabidi jamaa atoke ili aweke kumbukumbu sawa na mbaya akaenda kwenye details zaidi.
 
Back
Top Bottom