Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Huu ni ukweli mchungu. Haihitaji degree kujua kwa sasa kuna watu wazito karibu na mama wanaosukuma karata zao kwa umakini mkubwa huku wakimwingiza mama kingi. Ubaya ni kwamba hawa waovu...
11 Reactions
52 Replies
3K Views
Huyu Sheikh amempinga Dkt. Kitima kuwa uhai wa watu si bora kuliko mali, laiti zingechomwa mali za wakatoliki wasingesikia matamko kutoka TEC, ila kwa sababu mali zilizochomwa ni za Waislamu na...
2 Reactions
46 Replies
1K Views
Mzee wa Upako Anthony Lusekelo amewataka wanaosema kuwa Rais Samia anakosolewa sababu ni Muislam, wajibu hoja na siyo kuleta mambo mengine ya udini. Ameongeza kuwa Udini ni mbaya na haufai kwenye...
16 Reactions
26 Replies
1K Views
Kutoka kwenye ukurasa wa Sativa mtandao wa X; Ushahidi mwingine wa POLISI na vyombo vya USALAMA wakiua watanzania. Huyu ni kijana ambae alikamatwa 29 oktoba siku ya maandamano huko TUNDUMA...
25 Reactions
100 Replies
4K Views
Larry Madowo ameendelea kujichukulia point muhimu kwa sakata linaloendelea Tanzania. Hivi karibuni amewahoji META sababu za kufungia akaunti za Mange, Maria Sarungi na SATIVA ambapo wamesema...
8 Reactions
20 Replies
838 Views
Samia: "Zanzibar 2001 kulitokea mauaji kama haya hapa Tanganyika, hakuna jipya...." Samia: "Nguvu iliyotumika 29/10 na siku zilizofuata ilikuwa ni lazima itumike. Nyie mlitaka tutumie nguvu...
11 Reactions
18 Replies
726 Views
Kichwa cha habari kiko wazi juu ya ugeugeu na uzabazabina wa watawala wetu. Sijui nyie mnasemaje?
1 Reactions
2 Replies
158 Views
Anasema: 1. Ni mwaka mmoja sasa, hakuna ripoti yoyote juu mauaji ya kikatili ya baba yao yaliyofanywa na Polisi Wasiojulikana, waliomshusha kwenye bus wakaenda kumtesa na kisha kumuua kikatili na...
22 Reactions
30 Replies
1K Views
Tanzania inaendeshwa kwa mujibu wa Sheria na kanuni . Kuandamana ni haki ya kila Mtanzania ila ni haki ya serikali kupinga au kukataa maandamano kwa sababu za kiusalama na kijamii. Hakuna...
1 Reactions
28 Replies
645 Views
Samia na CCM walikuwa na options nyingi za kuepusha umwagaji damu na Mauaji makubwa ya halaiki yaliyotokea tarehe 29 Oktoba ambapo maelfu ya raia wa Tanzania wasiokuwa na hatia waliuawa. Kiongozi...
0 Reactions
0 Replies
119 Views
Hivi karibuni, Lameck Madelu Mkumbo au Mwigulu amekuwa na mstari wa kuchusha anaourudia kila aendapo. Anapenda kutuaminisha na kutushauri kuwa 'kuna mchezo' Watanzania tunachezewa na mabeberu...
6 Reactions
5 Replies
466 Views
"Uongozi uliokubalika utapiganiwa na watu wenyewe wala hauna haja ya kuhamasisha watu wakakupigania, ukiona kikundi kidogo cha watu wanaweza kuleta taharuki kama mnavyosema kinaweza kuleta vurugu...
1 Reactions
0 Replies
144 Views
Sijasema hapa udini nasemea walipotokea maana tuangalie walipotokea hata kama wamezaliwa mikoa mingine ila asili zao. Hakuna mkoa hatari kama Kigoma wenye watu wengi wenye roho za chuki na...
4 Reactions
9 Replies
462 Views
Ukifuatilia, wengi wa viongozi wanaokemea watu wasiandamane ni kama wanataka raia watulie na kuburuzwa. Issues zinazolalamikiwa na wananchi hazifanyiwi kazi, watu wanaendelea kutekwa, hofu ya...
0 Reactions
3 Replies
150 Views
Msimfiche najua hata yeye anajua hili. Tanzania asilimia kubwa ya wananchi wana maisha ya chini ukiona watu wengi wanakupinga basi jua ndio hao na ina maanisha hakuna kitu unafanya kwao. Mimi...
12 Reactions
14 Replies
434 Views
Kuna Mambo manne muhimu kwa miezi ya karibuni ambayo yataleta mwelekeo wa taifa letu kisiasa katika mambo haya manne matatu ni ya Chadema na mmoja ni la CCM. Chedema inatakiwa kufanya maamuzi...
8 Reactions
35 Replies
2K Views
Great Thinkers, Umofia kwenu! Kwa miaka mingi kumekuwepo malalamiko kwamba Tanzania haijawahi kufikia viwango vya kweli vya demokrasia ya ushindani. Tangu mfumo wa vyama vingi urejeshwe mwaka...
2 Reactions
7 Replies
228 Views
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam SACP Jumanne Muliro ametoa rai kwa Wahariri wa Vyombo vya Habari na Waandishi wa Habari kwa ujumla wake kutambua kuwa Tanzania ni nchi yetu sote na...
3 Reactions
37 Replies
1K Views
Miaka ya nyuma Serikali ilikuwa ikipambana kuzuia maandamano ya baadhi ya vyama vya siasa vya upinzani. Polisi wake walikuwa na kazi ya kuvamia venue wanazokutaniana wanasiasa kufanya shughuli za...
0 Reactions
0 Replies
166 Views
Mohamed Ali Kibao mtoto wa marehemu Ali Kibao amezungumza kuhusiana na ufuatiliaji na uchunguzi kuhusu kifo cha Baba yake (Mzee Ali Kibao) kilichotokea September 2024 baada ya kuchukuliwa na...
0 Reactions
2 Replies
225 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…