The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,706
Hivi karibuni, Lameck Madelu Mkumbo au Mwigulu amekuwa na mstari wa kuchusha anaourudia kila aendapo.
Anapenda kutuaminisha na kutushauri kuwa 'kuna mchezo' Watanzania tunachezewa na mabeberu. Hili la kuchezewa kamchezo ni kweli. Uongo ni wale anaodai wanatuchezea.
Ukweli ni kwamba wanaotuchezea ni akina Samuya anayewatuma machawa wake kama. mwigulu kutuhadaa na kututoa kwenye hoja. Wanataka tuamini kuwa tatizo siyo wao na CCM yao bali maadui wa nje ambao ni wa kufikirika. Maadui hawa hawatajwi.
Kiasi cha fedha wanachohonga hakitajwi. Mashehetani wanaotaka kutugawanya kidini nao hawaonekani, kusikika, wala kutajwa.
Adui yetu ni CCM na Samuya, na ndio wanaocheza haka kamchezo anakotuthadhari nako mwigulu.
Nawasilisha.