The Father of All JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 11,099 Reaction score 13,708 Dec 6, 2025 #1 Kichwa cha habari kiko wazi juu ya ugeugeu na uzabazabina wa watawala wetu. Sijui nyie mnasemaje?
Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,749 Reaction score 37,418 Dec 6, 2025 #2 Who are you message for closed 2025 kwa kichaa mwenye asilimia 98 mpaka sasa
N Nanye Go JF-Expert Member Joined Oct 29, 2018 Posts 14,379 Reaction score 19,134 Dec 6, 2025 #3 Wezi hao wanaogopa audit ya beberu anataka kujua pesa alizotoa zimefanya nini wanaanza kutoa ulimi nje. Halafu polisi na mi ccm inawalinda kwa kututeka na kutuua wakati yenyewe haipati hata senti tano.
Wezi hao wanaogopa audit ya beberu anataka kujua pesa alizotoa zimefanya nini wanaanza kutoa ulimi nje. Halafu polisi na mi ccm inawalinda kwa kututeka na kutuua wakati yenyewe haipati hata senti tano.