Mstaafu Jakaya Kikwete akiwa Qatar kwenye Mkutano unaofahamika kama Doha Forum alizungumzia masuala anuai yanayohusu vijana ikiwemo elimu, uchumi, na mustakabali wa Afrika.
Baada ya mkutano huo...
KWA NINI MAANDAMANO OCTOBER 29 YALIFELI?
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
1. Kwanza nitoe pole kwa yote yaliyotokea. Waliathiriwa na kuathirika kwa kuuawa, kujeruhiwa na kuharibiwa biashara zao...
Nani anamiliki Internet3? For an expert in modern communication technology ie.digital communication Seems a silly question, but take your time to think about it!
Dictatorial governments normally...
Tunapenda kuwafahamisha raia wote wa Ufaransa waliopo nchini Tanzania kuwa, kwa mujibu wa mwongozo uliotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan, mnashauriwa kubaki majumbani tarehe 9 Desemba 2025...
Gerson Msigwa najua umeifungia JF na wewe huingiii humu ila mie napitia hapa hapa kukutaka useme wazi hizo bilioni 200 ziko kwa nani tuzifuate?
Hizo ni Kodi zetu zirudi kwetu, au mpaka tuvae...
Najua Ubalozi wa Marekani mpo Active JF
Kwa kuwa Serikali ya Marekani imetoa tamko rasmi kuoneshwa kuguswa na ushenzi unaofanywa na Serikali ya CCM na Samia dhidi ya Watanganyika sasa...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb) amewasilisha taarifa ya ufafanuzi kwa Kamati ya Mawaziri wa Jumuiya ya Madola Wanaosimamia...
Kwa muujibu wa katiba rais ni yule aliyechaguliwa kidemokrasia na wananchi haisemi kujiwahisha kujiapisha kuwa tayari wewe unakuwa ni rais, haisemi kununua watu waku fanyie uchawa kuwa wewe...
Tume ya uchaguzi imesema umeshinda asilimia 98 sawa na watu milioni 32 sasa wasiokupenda ni nusu ambayo ni watoto, vijana ambao wajafikisha umri wa kwenye uchaguzi.
Mfungeni kamba jamani.
Kwa heri ukoloni, kwa heri uhuru. Ndo tunavyoweza kusema.
Mkoloni aliondoka na bendera yake kushushwa ila tukapandisha bendera ya mkoloni mpya katili zaidi. Huyu sasa ametufanya tusherehekee kuwa...
Mwanza hongereni sana sana kwa kazi nzuri,
Nimesikia na tumeona leo kupitia ITV mmekamata mali nyingi sana zilizokamatwa za wizi wa kwenye tukio la tarehe 29 october
1. mmepata ATM mashine 2 ...
Wakuu,
Hivi ni lini Serikali itakuja kukubali hizi propaganda za kuchukua a certain section of a certain demographics na kuwarekodi in a video kupush agenda kwamba hiyo mbinu sasa hivi haifanyi...
Wazee wa Mila Wilayani Serengeti, Mkoani Mara, wametoa onyo kali kwa Kijana yeyote atakayeshiriki maandamano, wakisema atatalaniwa na kutengwa na koo yake
Wakizungumza mbele ya Mkuu wa Wilaya ya...
Taasisi ya Kampeni ya Kitaifa ya Mama Asemewe chini ya Uongozi wa Mwenyekiti wake Bw. Geofrey Kiliba imelaani Vikali matukio ya uvunjifu wa amani yaliyofanyika wakati na baada ya uchaguzi Mkuu wa...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, ACP Benjamini Kuzaga, ametoa wito kwa Vijana wanaojihusisha na shughuli za bodaboda kutojihusisha au kushawishiwa kuingia kwenye maandamano yasiyo halali...
Yericko Nyerere unasema Samia hajavunja Katiba
Je, katiba inamuelekeza kuuwa raia wake?,
Je, Katiba inamuelekeza kukaa kimya juu ya utekaji?
Je, hiyo Katiba inasemaje kuhusu haki ya Maandamano...
https://www.youtube.com/watch?v=pJZBaDOTkHE
Ni matumaini yangu wenye hekima watatawala katika kuamua kuua au kuacha vitu viharibiwe tu ikibidi. Kama bado wanafikiria kutetea mali na kuua miili...
Wakuu,
Hawa ni bqadhi ya Marais kutoka nchi za Afrika wakewa wamebanana kama mahindi katika mkutano wa upatanisho kati ya Rwanda na Congo, wametulia wenyewe kama vipanya kwenye viti vya chuma...