Mchana wa October 29, Serikali kupitia vyombo vyake vya Ulinzi na Usalama vilitoa kauli kwamba ikifika saa 12 watu wawe ndani. Kauli ile kwanza haikutangazwa kwa juhudi za kutosha ili ziwafikie...
Wandugu
Nimewaza na kuona kuwa mfumo wa vyama vingi afrika hasa Tanzania ni mfumo unaotumika kuwaibia wazungu pesa. Janja ya kupata pesa za bure za misaada nk.
Kwa nini nasema hivi nchi nyingi...
"Watanzania wote heri ya miaka 64 ya uhuru, uhuru wetu ndo maisha yetu. Watanzania siku hii ya uhuru tutafakari safari yetu, tutafakari nchi yetu, tuilinde nchi yetu. Kataa kushiriki matendo ya...
Ni asubuhi leo desemba 9, 2025 katika maeneo ya Tegeta Kibao jijini Dar es salaam, Askari Polisi wakifanya ukaguzi wa kila gari yakiwemo mabasi yanayotokea Kaskazini (Arusha, Moshi na Tanga).
Wema ‘wa Mama’ ameelekea South Africa, na ameenda jana Disemba 7 na taarifa za aliko tunazo.
Mwijaku yeye katimkia Dubai juzi Disemba 6. Na aliko taarifa zake pia tunazo.
Sasa hawa watetezi wa...
Mwandishi wa Habari wa BBC akionesha hali ilivyo katika Jiji la Dar es salaam leo Desemba 9, 2025, ikiwa ni maadhimisho ya miaka 64 kumbukumbu ya siku ya uhuru.
Ikumbukwe kufuatia madai ya...
Taswira ya maadhimisho (ambayo hayafanyiki) ya Miaka 64 ya Uhuru nchini Tanzania baada ya polisi kujaa mitaani kudhibititi maandamano yaliyopangwa kupitia mitandao ya kijamii.
Si ajabu kwan mara kadhaa watu wenye akili walionya kuhusu hawa wanaoanzisha maadamano kwamba wenyewe hawatokagi na kwel tumeshuhudia bado wako online mpaka sasa wengine hawataki kuoga asubui hivo...
Nyambafu kweli yaani!.
Wakibana Leo tu atoka kesho, wakibana kesho, tu atoka kesho kutwa. Hakuna siku maalum ya kuandamana.
Heshima sana Watanganyika.
Angalizo: Watanganyika wakichoka kukaa...
azama hali ilivyo hii leo mapema kabisa asubuhi katika jiji la Mbeya hususani katika maeneo ambayo yamekuwa na mikusanyiko mikubwa ya watu ikiwemo eneo la Kabwe.
Hii inafuatia kuwepo kwa vuguvugu...
Salam
Tutajitahidi kadri iwezekanavyo leo maandamano yawepo tena maandamano ya nguvu kubwa mpaka mafedhuri waachie nchi
Ikishindikana leo tutaandamana palee watakaposema raia waendelee na...
Polisi ahsante sana kwa kuendelea kutangaza maandamano haya, mnafanya kazi nzuri mnatangaza nchi nzima, nyie jifanyeni kama mnasema hayatakuwepo kumbe ndio mnayatangaza kwa kasi ya ajabu.
Hakuna kutulia, mpaka Haki ipatikane. Kama madai yetu hayatotimia basi tutakuja na J12.
By doing so uchumi utayumba, hamtopata watalii, mtamwaga bajeti kwenye ulinzi Hadi mkome.
Madai
1. Lissu...
Tanzania, kama taifa moja lenye umoja, limejengwa kwa misingi ya historia ndefu na changamoto mbalimbali. Hata hivyo, miongoni mwa matukio muhimu katika historia ya taifa hili ni siku ya uhuru wa...
Rais Samia alisema akiwa anawahutubia wazee wa Dar. Kuwa tar 29 oktoba kuna watu walipanga kuangusha dola. Ndio maana nguvu kubwa ikatumika kuua watu wasio na hatia.
Nani anataka kuchukua kiti...
Usiseme hutafikiwa, bali jiulize utafikiwa lini kwakuwa hata waliokaa kimya walifikiwa zile siku 5 za giza nene Tanganyika..
Ukiliangalia hili jambo kimwili unaweza usipate majibu ya kuridhisha...