ila vimada wa abdul mna ujinga! Hogo la abdul limewachanganya kwelikweli!HAKUNA NASEMA HAKUNA kucheka na hawa kima Waziri mkuu shikilia hapo hapo tena ongeza ukali mpaka wakimbie nchi.
Kuna watu ambao waliyoanzisha hizi fujo na wakatumia maneno makali sana mmoja wapo ni Lisu.Hahaha Jamaa wanalinda nchi kwa gharama yoyote. Ni sawa na baba na mama wanaolinda mji huku wakiua watoto. Wengine watatoroka na kwenda mbali na kubadiri ka kuwa maadui wa familia. Hapo itakuwa ngumu.
HAKUNA NASEMA HAKUNA kucheka na hawa kima Waziri mkuu shikilia hapo hapo tena ongeza ukali mpaka wakimbie nchi.
kama kaamua kuwa mkali, basi asipoe...HAKUNA NASEMA HAKUNA kucheka na hawa kima Waziri mkuu shikilia hapo hapo tena ongeza ukali mpaka wakimbie nchi.
Mjaze tu, meza ikigeuka moja ya wahalifu wakuu itakuwa Mwigulu. Huyu ana record ya kufanya uhalifu toka enzi za kina Tesha. Huyo ana hofu kubwa maana anajua uovu wake uko peupe. Hivyo vitisho ni kinga ili wasitoke madarakani maana yeye atakuwa muhanga namba moja wa mabadiliko ya kweli.HAKUNA NASEMA HAKUNA kucheka na hawa kima Waziri mkuu shikilia hapo hapo tena ongeza ukali mpaka wakimbie nchi.
Sema watalinda ulaji wao kwa nguvu yoyote siku ikifika zamu yetu kutumia nguvu yoyote kuwatoa mafisadi na wala nchi na wala rushwa atatafuta chaka maana hakuna jiwe litasaliaKipindi hiki ubabe haujengi, unabomoa.
Unaweza kuilinda nchi nchi kwa diplomasia na wànanchi ambao ndio wenye nchi!
View attachment 3513014