Mfahamu Omari Mahita Omari, Mtoto wa IGP mstaafu aliyehenyeshwa Mahakamani na Mawakili wa Mbowe

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,509
217,774
Shaidi_alieshugulikiwa_Leo_ni_Mahita_Omary_Mahita%2C_pichani_ambae_ni_Mtoto_wa_IGP_Mstaafu%2C_...jpg

Taarifa zinaonyesha kwamba Mashahidi wa serikali kwenye kesi inayoitwa ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na Wenzake wako 24 , kati yao 21 ni maofisa wa Polisi wa Tanzania , akiwemo Kingai na Omari Mahita Omari aliyegalagazwa leo Mahakamani na Mawakili wa Utetezi .

Taarifa za siri zinaonyesha kwamba Mashahidi hao kutoka Polisi wengi wao ni viongozi wa jeshi la polisi wa sasa katika ngazi mbalimbali au ni watoto wa waliokuwa viongozi wa polisi, hii ni kwa sababu ilibidi watafutwe askari wenye maslahi na keki ya Taifa, baada ya askari wengine kugoma kushiriki kwenye njama ambayo mwisho wake haufahamiki

Tutaendelea kufukunyua mashahidi wote wa serikali kwenye kesi hii, kuanzia Elimu yao na njia walizotumia hadi kuupata upolisi wao.

Usiondoke JF
 
View attachment 1942518

Taarifa zinaonyesha kwamba Mashahidi wa serikali kwenye kesi inayoitwa ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na Wenzake wako 24 , kati yao 21 ni maofisa wa Polisi wa Tanzania , akiwemo Kingai na Omari Mahita Omari aliyegalagazwa leo Mahakamani na Mawakili wa Utetezi .

Taarifa za siri zinaonyesha kwamba Mashahidi hao wa kutengezwa kutoka Polisi wengi wao ni viongozi wa jeshi la polisi wa sasa katika ngazi mbalimbali au ni watoto wa waliokuwa viongozi wa polisi , hii nibkwa sababu ilibidi watafutwe askari wenye maslahi na keki ya Taifa , baada ya asjari wengine kugoma kushiriki kwenye njama ambayo mwisho wake haufahamiki
Propaganda za chadema hadi kwenye kesi. Ubabaishaji wa kiwakili kwenye mfumo unaotafuta haki iko wapi hausadii chochote. Uwakili wa kilissu hausadii kitu. Ukweli utapatikana chadema wasitegemee kesi kufutwa eti fomu imekosewa au technicalities zozote.
 
View attachment 1942518

Taarifa zinaonyesha kwamba Mashahidi wa serikali kwenye kesi inayoitwa ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na Wenzake wako 24 , kati yao 21 ni maofisa wa Polisi wa Tanzania , akiwemo Kingai na Omari Mahita Omari aliyegalagazwa leo Mahakamani na Mawakili wa Utetezi .

Taarifa za siri zinaonyesha kwamba Mashahidi hao wa kutengezwa kutoka Polisi wengi wao ni viongozi wa jeshi la polisi wa sasa katika ngazi mbalimbali au ni watoto wa waliokuwa viongozi wa polisi , hii ni kwa sababu ilibidi watafutwe askari wenye maslahi na keki ya Taifa , baada ya askari wengine kugoma kushiriki kwenye njama ambayo mwisho wake haufahamiki

Tutaendelea kufukunyua mashahidi wote wa serikali kwenye kesi hii , kuanzia Elimu yao na njia walizotumia hadi kuupata upolisi wao .

Usiondoke JF
Hayo maswali ya kijiinga yote yaliyokuwa yanaulizwa ambayo ni irrelevant na hayana connection yoyote na shauri linalotolewa ushahidi ndio unasema ni maswali hayo? Eti baba yako alikuwa igp ndio.mawali ya kuhenyesha hayo?
 
Propaganda za chadema hadi kwenye kesi. Ubabaishaji wa kiwakili kwenye mfumo unaotafuta haki iko wapi hausadii chochote. Uwakili wa kilissu hausadii kitu. Ukweli utapatikana chadema wasitegemee kesi kufutwa eti fomu imekosewa au technicalities zozote.
... Shahidi unsifahamu PGO (Jaji: wakili muonyeshe hiyo PGO aione... Anaonyeshwa...) shahidi: hii siyo yenyewe mheshimiwa... Jaji: wakili mpe dakika mbili akili yake itulie... Halafu wewe unaleta ngonjera za eti propaganda? Kasimame pale kizimbani dakika tano tuu kama hutaanze "Mhe jaji tumbo linanikata...
 
Walidhani kubambika kesi ni kama Cocacola kwamba kila mahali utaikuta ni nyeusi,kumbe kuna wengine ni kaa la moto
Nyiny msimuige yule alionhea vile ili tu kuwafurahisha na kuzua utata ila yy mwenyewe anajua kuwa demokrasia hamna nchin
 
... Shahidi unsifahamu PGO (Jaji: wakili muonyeshe hiyo PGO aione... Anaonyeshwa...) shahidi: hii siyo yenyewe mheshimiwa... Jaji: wakili mpe dakika mbili akili yake itulie... Halafu wewe unaleta ngonjera za eti propaganda? Kasimame pale kizimbani dakika tano tuu kama hutaanze "Mhe jaji tumbo linanikata...
Usihangaike na mamluki
 
Hayo maswali ya kijiinga yote yaliyokuwa yanaulizwa ambayo ni irrelevant na hayana connection yoyote na shauri linalotolewa ushahidi ndio unasema ni maswali hayo? Eti baba yako alikuwa igp ndio.mawali ya kuhenyesha hayo?
Sasa kama umekaririshwa ushahidi unadhani dawa ni nini? Unapigwa maswali hayo unayoyaita ya hovyo mpaka ukija kukaa sawa, yoooteee uliyokaririshwa yamepotea kichwani... Imagine shahidi amefikia point anajibu kwamba hajui kilichomleta mahakamani ni kutoa ushahidi wa nini ..., anailizwa mlienda Aishi hotel, na machame kufanya nini wala hajui hahahaaaa...
 
Hizi proceedings za kujitungia mitandaoni eti kasema hajui amekuja kutoa ushahidi wa nini
 
Back
Top Bottom