Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Serikali imeshauriwa kutunga sheria maalum ya kushughulikia matatizo yanayotokana na unyanyapaa, ukatili wa kijinsia dhidi ya watoto na wanaoishi na VVU. Aidha, imeombwa kuweka misingi bora...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Askari polisi wa Kituo cha Negezi wilayani Kishapu mkoa wa Shinyanga, Koplo Gidman Kanyinuzi, anashikiliwa na jeshi hilo kwa madai ya kumuua raia, wakati akishiriki ulinzi shirikishi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Fredrick Warema Serikali inatarajiwa kuwasilisha katika Bunge lijalo sheria inayosimamia mikataba ambapo watu binafsi wataweza kuingia katika...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, Khalidi Mandia kwa kushirikiana na viongozi wa wilaya hiyo wameanza kampeni ya kuwasaka wanafunzi zaidi ya 400 waliofaulu kuingia kidato cha kwanza...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wabaini namba za wanachana kubadilishwa Msajili wa Vyama vya Siasa, John Tendwa Uongozi wa Chama Cha Jamii (CCJ), umeibuka na kutoa madai ya kufanyiwa hujuma...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja. Serikali imepiga marufuku usafirishaji nje ya nchi wa madini ya Tanzanite ghafi kwa vile hayawanufaishi sana Watanzania kutokana na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Joint Government and UN Inquiry Needed into Death of Floribert Chebeya Bahizire Floribert Chebeya Bahizire Floribert Chebeya's shocking death is a serious blow for human...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
In the Name of Security Seeking Protection Human Rights Watch Letter to President Jakaya Mrisho Kikwete of Tanzania Tanzania has the right to expel people who are illegally within its...
0 Reactions
0 Replies
959 Views
MAHAKAMA ya Wilaya ya Temeke imemuhukumu kifungo cha maisha kijana wa miaka 26 baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumnajisi mtoto wake wa kiume mwenye umri wa miaka mitano. Akitoa hukumu hiyo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Friday, 04 June 2010 Mwandishi Wetu BALOZI wa Sweden aliyememaliza muda wake, Staffan Herrstrom jana alitoa hotuba kali ya kuitaka serikali kutekeleza ahadi inazozitoa, ikiwemo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Steven Monjeza kulia na mkewe Tiwonge Chimbalanga Wanaume wawili waliooana nchini Malawi ambao walitupwa jela...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
WAKATI serikali ikiwa kwenye harakati za kumkomboa mtoto wa kike kielimu juhudi hizo zinarudishwa nyuma na baadhi ya wapinga maendeleo akiwemo mwalimu wa Shule ya Sekondari ya Byuna, wilayani...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
OFISA Mtendaji wa Kata ya Challa katika Wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa, Priver Mwasile amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Nkasi akikabiliwa na shtaka la kuomba na kupokea rushwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tendwa apondwa kwa kutoisajili CCJ na David Frank, Arusha CHAMA cha Mawakili Tanzania (TLS) Mkoa wa Arusha, kimemkosoa msajili wa vyama vya siasa nchini John Tendwa kwa kukataa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
ALIYEKUWA Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Liyumba ALIYEKUWA Mkurugenzi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Pasipoti ya Uswizi Wednesday, May 26, 2010 1:38 AM Mwanaume wa Uturuki ambaye alipata uraia wa Uswizi baada ya kuoa...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Ndugu qna JF, mara nyingi nimekuwa nikijiuliza maswali mengi kuhusu utendaji kazi wa 'traffic police' wetu. Na kwa vile watu wengi hawajui sheria au kama wanajua hawajui namna ya kudai haki yao...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
A man was charged before the Judge by stealing valuable property by inserting his hand through the window and disappearing with it, hence depriving the rightful ownership of the owner. In...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Monday, May 24, 2010 A three-judge bench on Monday declared the inclusion of Kenya's age old Kadhi courts in current Constitution illegal and discriminatory. The judges, sitting as a...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Jamani wana JF, Kwa leo sitapenda kutoa taarifa kamili kwa jili ya interest fulani lakini naombeni sana kama kuna mtu anaweza nisaidia katika hili. Huku mkoanii kwetu tulipozaliwa, Baba na...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…