sheria inayoruhusu mtu kumiliki sehemu ya jengo

Akili Kichwani

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
1,509
1,250
wakuu,.........

niko katika kukamilsha article moja ya kupublish kwenye international journals ........................

nimeperuzi tovuti ya bunge nimekuta sheria nyingi sana pale za ku-download, lakini sijafanikiwa kuiona hiyo niliyoitaja, nadhani watakuwa hawajaibandika au iatakuwa si sheria inayojitegemea bali ammendments or repulsions whatsoever................ naomba mwenye copy ya hii sheria atubandikie hapa au anirushie PM .................. pia hata menye muhtasari wake unaotoa basics can do fine.......... msaada tafadhari.................
 

Lenana

JF-Expert Member
Oct 10, 2010
421
225
Unit titles Act,imo kwenye website ya bunge.

nikushukuru pia kiongozi maana mortgage ndo ilikuwa inaclick kwa mkichwa nafikiri ningalihangaika kama ndugu hapo udugu kufaana hata katika elimu thanks once again! mayenga
 

Akili Kichwani

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
1,509
1,250
nikushukuru pia kiongozi maana mortgage ndo ilikuwa inaclick kwa mkichwa nafikiri ningalihangaika kama ndugu hapo udugu kufaana hata katika elimu thanks once again! mayenga

kweli mkuu hapo penye bold ndipo paliponisumbua, nimehangaika sana kuperuzi tovuti ya bunge, kumbe sheria yenyewe ina jina tofauti kabisa..... mayenga katupatia shavu la nguvu......
 

Akili Kichwani

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
1,509
1,250
inaitwa condominium act. Mkuu tafuta kwa jina hilo utapata

asante mkuu.

kumbe kulipitishwa sheria mbili zinazohusiana na hii ishu yaani the Condominium Act and the Mortgage Financing (Special Provision) Act.

thanks once again.....................................
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom