Sina utaalamu wowote na sheria na ndio maana natatizwa na hili neno: Makosa ya Jinai yanakuwaje/yanatofautianaje na makosa ya kawaida. Nawasilisha!!!