Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,182
Gazeti la Mwanahalisi limeripoti ya kuwa Dr. Slaa kumshitaki JK Mahakamani kama hataanzisha mchakato wa katiba mypa................
Nionavyo hii sasa ni purukshani ya mfa maji..............................hata unyasi atakamata akifikiri utamwokoa..........................
JK na CCM hawana mpango wa katiba mpya na watanzania wamewachagua wakielewa hivyo sasa Dr. Slaa ambaye tunaelezwa ni mwanasheria haelewi kuwa Mahakama siyo mahali pa kudai sera za chama chako kilichoshindwa kushika dola kwa ridhaa ya watanzania. Hivyo, basi Chadema au Dr. Slaa hakiwezi kukishinikiza CCM ambacho kina ridhaa ya kuongoza ya wananchi................Chadema wanao uhuru wa kupinga matokeo yoyote yale kama hawaridhiki nayo lakini wakikaa kimya ni kuwa wameyakubali na vurugu za maandamano na nyinginezo ni utovu wa nidhamu na ni juu ya serikali kutuhakikishia ulinzi na usalama sisi raia wengine ambao tunataka kuchapa kazi na kuliendeleza taifa hili masikini sana duniani..................
You do not need to be a lawyer to comprehend this factual reality..............that courts of law have no mandate to define or enforce policy preferences..................only voters have that mandate as per our own constitution.............