Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,602
- 6,809
Rais wa Jamhuri ya Muungano, Jakaya Mrisho Khalfani Kikwete
Rais kwa mujibu wa katiba hii anatakiwa kufanya mambo kwa maslahi ya nchi na ustawi wa wananchi. Mambo hayo yasipofanyika ni sawa na kwenda kinyume na katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Katiba inasema:
Ibara ya 74
(4) (a) Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi atakoma kuwa mjumbe ukimalizika muda wa miaka mitano tangu alipoteuliwa
[Maswali ya Msingi: Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Ben Mkapa hakuwahi kubadilisha wajumbe wa Tume ya Uchaguzi; pia Rais JK hajafanya hivyo mpaka sasa, je wamekuwa na ajenda gani ya siri hapa? Kama kusema Tume haichunguzwi mahakamani, basi ndio hata wajumbe hawabadiliki? Wajumbe wamekuwa wale wale tu Jaji Lewis Makame, Rajabu Kiravu, Prof. Chaligha zaidi ya miaka mitano! Je, kwa maana hiyo wajumbe wa Tume wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2000, 2005 na 2010 hawakutakiwa kwenye Tume kwa mujibu wa katiba na hivyo Tume kuwa batili?]