Nasaka members kwa ajili ya discusion group ya LLB

Kashaijabutege

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
2,696
740
Mie nimechaguliwa OUT kwa ajili ya degree LLB academic year 2010/11. Ninaishi Dar na ninafanya kazi. Ninaomba kupitia hii forum kama kuna mwanaJF anayesoma LLB mwaka wa kwanza, chuo chochote, na anaishi Dar, basi tuunde discussion group. Simu yangu ni 0754 275 305 na 0784 953 558. email arweikiza-dar@tcrs.or.tz
 
Tunapenda watu kama nyie! Kila la kheri katika mchakato mzima wa masomo hapo OUT
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom