Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Wednesday, April 20, 2011
Na Mustapha Kapalata, Nzega
KATIBU MKUU wa chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA)Dkt,Willibrod Slaa amemsimamisha kazi katibu wa wilaya ya Nzega wa chama hicho...
Walengwa wakubwa wa lengo hilo ni wimbi la Wzanzibar wanaoishi nchi za nje ambao wengi wao wana raia zakigeni. Hii imekuja kutokana na fununu zakuwa oganazation ya Wzanzibar ya kujioganizi...
Ni ukweli kuwa vyama vya siasa vimeundwa na binadamu, hivyo kuwepo au kutokuwepo kwake kunategemea akili za binadamu. Tofauti na ardhi na vyote vilivyomo ambavyo kwa pamoja hujulikana kama nchi...
Alishawahi kusema mwenyewe na jana Dr Slaa kakumbushia kuwa RA ana kipato cha zaidi ya Tsh Billion 240 kwa mwaka!Hii ina maana kuwa RA anaingiza faida ya zaidi wa Tsh million 657 kwa siku!
Naomba...
DIWANI wa Serengeti, Chacha Samwel Gibewa (Chadema) amesalimisha kwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Enos Mfuru bunduki aina ya AK 47 ambayo amekuwa akimiliki kinyume cha Sheria.
Kiongozi huyo wa...
Jaji Bomani azilipua Kampuni za madini Tuesday, 19 April 2011 09:31
Ramadhan Semtawa
Mwananchi
MWANASHERIA Mkuu Mstaafu Jaji Mark Bomani, amezitaka kampuni za madini nchini kuwekeza asilimia...
Naibu Waziri wa TAMISEMI, Mh Aggrey Mwanri (mwenye suti) akiwa anasimamia kuwaweka chini ya ulinzi vijana watatu aliowakamata kwa kosa la kula maembe na kutupa maganda barabarani jijini Arusha...
Najaribu kuangalia hali tuliyonayo watanzania kwa muda wote huo tangu tupate uhuru (kujetegemea kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni) naona hali ni mbaya kabisa laiti kabisa tusingekuwa na mfumo wa...
Wana JF
Mimi ni mwananchama wa PPF, ninafikiria (na naamini nitaungwa mkono na wanachama wenzangu kwa hili) kuwapeleka mahakamani ili nihamishe michango yangu mahali pengine. Ni wanyonyaji...
BAADA ya wananchi wa kata ya Ruaha katika Halmashauri ya manispaa ya Iringa kumtuhumu kwa ufisadi wa shilingi milioni 24 .6 za maendeleo afisa mtendaji wa kata hiyo Nuhu Feruzi ameamua kujiua kwa...
Wassira amvaa Dk Slaa juu ya mafisadi
Christopher Maregesi, Bunda
MJUMBE wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Stephen Wassira amemtaka Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Wilibrod Slaa kuacha mara moja...
Taarifa ambazo zimethibitishwa na kamanda wa polisi mkoa Simon Sirro,
zinadai jeshi hilo linawashikilia watu sita ikiwa ni pamoja na mjumbe
wa kamati ya siasa wa CCM Mkoa Ellen Bogohe wakidaiwa...
Naomba msaada kwa wanasheria. Nimezaa na binti ambaye hatukuweza kuoana kutoelewana kuhusu dini zetu. Aliwahi kunishauri tufunge ndoa ya serikali lakini kutokana na imani yangu hii ndoa...
Shahidi abanwa kesi ya kina Mramba
Na Gladness Mboma
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemtaka shahidi wa kwanza wa upande wa mashtaka Bw. Godwin Nyelo, kuwasilisha barua iliyokuwa ikitoka...
Channel ten wametangaza katika taarifa ya habari asubuhi hii.
Mkuu wa mkoa wa Mara amemkamata diwani wa Chadema katika kata moja wilayani Serengeti akiwa anamiliki bunduki AK47 kinyume na...
Hili swali nilimuuliza Dr.Slaa jana japo hakunijibu nimefurahi kupata habari hii.Nawashukuru sana CHADEMA kwa kulitambua hili na kuwasaidia wana Kaliua wanaonyanyasika mikononi mwa watoto wa...
Nimeamua kuwaomba CDM japokuwa mimi ni CCM damu kwa kuwa wabunge wetu wa CCM wamekuwa ni watu wa kutetea chama ili kulinda nafasi zao wakati si ccm iliyowapeleka hapo bali ni wapiga kura wao ambao...
The Citizen
Now that the Constitutional Review Bill has been withdrawn from Parliament, Tanzanians must reorganise themselves for further, more fruitful discussions on what content they would...
Wakubwa mimi nauliza hivi TAKUKURU wana mamlaka kisheria kuchunguza NGO yoyote tanzania iliyopewa fedha na wafadhili wa nje kuhusu tuhuma za mambo ya rushwa nk bila kuombwa na wafadhili au kwa NGO...