Watu sita mbaroni kwa kula njama za kumuua Dk. Chegeni

Uncle Rukus

JF-Expert Member
Jun 16, 2010
2,415
398
Taarifa ambazo zimethibitishwa na kamanda wa polisi mkoa Simon Sirro,
zinadai jeshi hilo linawashikilia watu sita ikiwa ni pamoja na mjumbe
wa kamati ya siasa wa CCM Mkoa Ellen Bogohe wakidaiwa kuhusika na
kupanga njama za kumuua aliyekuwa mbunge wa Busega Dk. Raphael
Chegeni. Inadaiwa mpango wa uaji ulikuwa umeandaliwa na mbunge mmoja
wa CCM kanda ya ziwa. Naendelea kufuatilia zaidi isipokuwa kamanda
Sirro amesema jeshi lake litatoa taarifa kwa vyombo vya habari kesho.
 
Hee mbona makubwa!! Wenyewe kwa wenyewe wanaanza kuuana tena? Tuelezee yanayojiri mkuu
 
Bado wanapambana na JF na Chadema kuwa ndio adui wa ccm. Waongeze kasi, wakimaliza kutalii nchi nzima na kufuja pesa zetu watagundua bado tatizo linawasubiri na tena limekua
 
Jamani mimi naona MZEE NDESAMBURO alitoa laana kali sana juu ya chama cha magamba!tumuombe aibatilishe nini?
 
Waacheni wavuane magamba kisawasawa ..huko kwetu kuna nyoka mmoja anaitwa Olunyambabi,huyu nyoka inaaminika akikua huvua gamba lake na kuwa mkali zaidi na hata jina hubadilika na kuitwa Enkolantima,haya ndo magamba ya ccm wanavua moja na sumu inaongezeka maradufu mara Iringa wanajiua,mara wanatafutana kuuana...kaaaaaaazi kweeeeli kweeli,ccm ni Enkolantima
 
Hiyo ndio ccm halisi sasa, haya mengine sijui wanajivua nini ni matangazo ya biashara tu.
CCM halisi hizo ndio kazi zake, mnakumbuka ya yule meya wa jiji la mwanza alimuua yule Mama (nadhani alikuwa mwenyekiti wa mkoa, kama sijakosea) pia tukumbuke tukio la mzee Kolimba... sijui anafuata nani!!?
 
Mmm makubwa mwaka huu.Hata miezi sita haijapita na viroja vingi namna hii
 
Ma daktari nowadays wana kacha fani yao wanakimbilia kwenye politics..wagonjwa nani awatibu..tafakari hii!
 
Katika hali isiyo ya kawaida kundi la watu wakiongozwa na wana ccm walio kwenye kamati kuu za chama mkoani mwanza wamekamatwa hotelini wakijipanga jinsi ya kumuuua dk chegen,mtu aliepangwa kummaliza mh chegeni ambae aliukosa ubunge anaitwa kamanda chakaza kutoka kahama ambae aliwasili tar 12 kwa ajili ya kusubiri kikao walichokaa tar 13 kujua anapata ngapi baada ya shuguli..polisi wamekiri kutonywa mchezo huo mchafu na kusema wana vielelezo vyote tangu wanaitana toka kahama na mpaka siku aliekuja na ndege ya precission mwanza akitokea dar na million 10 kwa ajili ya mgao...

Loh chama amna huruma nyie yaani mmekosesha ubunge bado mwataka kummaliza siasa weee huna maana kabisa unataka kuondoa uhai wa mtu loh!!kweli chama cha majambazi

Rais kikwete moto umeanza unauweza???
Kwa habari zaidi

nunua tanzania daima
 
Jaribu kueleza kilicho andikwa kwenye gazeti kwa ufupi. Wengine hatupo Tanzania au sehemu ambayo unaweza kupata gazeti hilo. Habari uliyotoa hajitoshelezi. Kama unalo hilo gazeti jaribu kuweka ufupisho wa hiyo habari.
 
ngoja wamalizane wenyewe kwa wenyewe kabla hawajarudi kuchafua hali ya hewa CDM.
 
Jaribu kueleza kilicho andikwa kwenye gazeti kwa ufupi. Wengine hatupo Tanzania au sehemu ambayo unaweza kupata gazeti hilo. Habari uliyotoa hajitoshelezi. Kama unalo hilo gazeti jaribu kuweka ufupisho wa hiyo habari.

mie nafikiri hapo ndo ameweka ufupisho wenyewe, labda useme aweke habari nzima.
 
Katika hali isiyo ya kawaida kundi la watu wakiongozwa na wana ccm walio kwenye kamati kuu za chama mkoani mwanza wamekamatwa hotelini wakijipanga jinsi ya kumuuua dk chegen,mtu aliepangwa kummaliza mh chegeni ambae aliukosa ubunge anaitwa kamanda chakaza kutoka kahama ambae aliwasili tar 12 kwa ajili ya kusubiri kikao walichokaa tar 13 kujua anapata ngapi baada ya shuguli..polisi wamekiri kutonywa mchezo huo mchafu na kusema wana vielelezo vyote tangu wanaitana toka kahama na mpaka siku aliekuja na ndege ya precission mwanza akitokea dar na million 10 kwa ajili ya mgao...

Loh chama amna huruma nyie yaani mmekosesha ubunge bado mwataka kummaliza siasa weee huna maana kabisa unataka kuondoa uhai wa mtu loh!!kweli chama cha majambazi

Rais kikwete moto umeanza unauweza???
Kwa habari zaidi

nunua tanzania daima

kwani huyo Dr ana nini mpaka wamuue?
 
Back
Top Bottom