Tanzania Immegration ya pitisha sheria ya kuchukua fingerprinting kwa wanaoingia na kutoka. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania Immegration ya pitisha sheria ya kuchukua fingerprinting kwa wanaoingia na kutoka.

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by abdulahsaf, Apr 22, 2011.

 1. a

  abdulahsaf JF-Expert Member

  #1
  Apr 22, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Walengwa wakubwa wa lengo hilo ni wimbi la Wzanzibar wanaoishi nchi za nje ambao wengi wao wana raia zakigeni. Hii imekuja kutokana na fununu zakuwa oganazation ya Wzanzibar ya kujioganizi nikubwa na kuibuka wimbi la kutia presha ya kuvunja Muungano ili wapate kurudi nyumbani na kuendelea na shuhuli zao za kimaicha kuliko kuishia na kumalizika ugenini na ku-treatiwa kama wageni hata uwe na passport basi unatreatiwa kama mtu wa class 2.

  Hii ndio taget kubwa ingawaje maofisa wa Serekali ya Tanzania wanasema taget ni ugaidi wa kimataifa lakini gaidi mkubwa hapa kwa Serekali ya Tanganyika ni wimbi la Wzanzibar waloko njee kukosa haki na right za nchi yao.

  Hii ni mbinu hata Wa-Israil kwa Wapalestina waloko nje ya Palestina ili wasiweze kurudi tena kuishi Palestina na kupoteza right zao zote za motherland,na Tanganyika hii ndio plan kubwa iliopangwa ili kuwazibiti Wzanzibar waishio ugenini na kupunguza nguvu ya ndani ya population ya Wzanzibar.

  Kinachowashtua hivi sasa viongozi wa Tanganyika ni mtikisiko mkubwa wa umoja wa Wzanzibar uloko nje ya Zanzibar kwenda mbio na kudai Muungano ni fake na haukufuata vigezo vya kimataifa na hauna ridhaa ya Wzanzibar wenyewe na una kasoro nyingi ambazo hivi sasa ni too let kuweza kuzirekebisha bila ya kuvunjwa na ukafanyiwa re-view.

  Mpango wakuwabana wzanzibar waloko nje ni mbinu zimeibuliwa hivi karibuni na lengo nikuwanyima haki ya nchi yao kama wazawa na kumeikwa kitengo flani ktk mawasiliano ya simu kutoka nje ili kuskiliza na kushuja mazungumzo ya koje na yanahusu nini? hii ni hofu ya Watanganyika zidi ya Muungano kuvunjika kwa vile presha za Wzanzibar waloko nje nikubwa na wanafuatilia step moja bada ya nyengine kuhusu uhalaliwa Muungano.

  Muungano wa Tanzania na Zanzibar hivi sasa umebakia urafiki tu wa ccm/Tanganyika na ccm/smz lakini ktk madali ya Wzanzibar wenyewe hawautaki Muungano hata kuona unaishi kutokana na nguvu ya kundi la ccm/smz tu.
   

  Attached Files:

 2. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #2
  Apr 22, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Ndugu Abdulsahaf kwanza ni Immigration na sio Immegration na pili kuweka fingerprint na kuzuia watu kununua passport zetu ni njia nzuri na naiunga mkono. Wazanzibari wengi walioko nje ya nchi walikwenda huko kutafuta maisha na kujiendeleza kielimu. Wengi wao wamejipiga kama wasomali, wasudan na wacongo na warwanda katika nchi za magharibi, na arabuni. Kwanza kitendo hicho cha kuukana uraia wao ni dhahiri kabisa hawataki kuwa watanzania na wameikana nchi yao (je sasa wanataka nini kurudi kama sio tamaa zao?).

  Pili kuruhusu watu kama hawao wachukue uraia wetu kutachochea ugumu wa maisha kwakuwa wenzenu huko huwa wanapewa pesa na serikali za huko kama msaada wa maisha (social benefits). Pesa hizo ni nyingi na huwawezesha kuwa purchasing power kubwa kwetu Tanzania na hilo limechangia kwa kiasi kikubwa kupanda kwa gharama za maisha zanzibar na pemba kwasababu watu hawa ndio waendeshaji maisha wakubwa katika visiwa hivyo viwili. Huoni kuwa wakizuiliwa itakusaidia hata wewe abdulsahaf kuwa na kaeneo na wewe ujenge kwa jasho lako (kama ni mzawa kweli maana unaweza kuwa hao hao mlioko nje ya nchi).

  Solution pekee kimtazamo wangu ni kutoa passport mbili yaani dual nationality ili mtu ajue kabisa anakuja tanzania kuna sheria zake za kumruhusu kama mtanzania. Vile vile wawekewe vizuizi fulani katika nationality zao ili kuwalinda wazawa wasiathirike na nguvu ya kiuwezo waliyo nayo hawa ndugu zetu walioko nje ya nchi.
   
 3. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #3
  Apr 22, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Safi sana kwa kuanzisha fingerprint,manake waliojilipua siwamechagua kuwa wa huko kwaheriniiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
  sie tupo na Tanzania yetu.
   
 4. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #4
  Apr 22, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Tatizo lao wanataka huku na huku na hilo sio fair kwani wao wameshaamua maisha yao huko na wamekana asili yao sasa Tanzania yetu wanaitakia nini?????
   
 5. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #5
  Apr 22, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Wewe kama ni gaidi uko ughaibuni na unataka kurudi kuja kuchafua hali ya hewa nchini baada ya hao waliokusaidia huko kukuchoka hakika tutakukamata tu.. hata uje na propaganda za aina gani!! Kama uliamua mwenyewe kusepa sasa kumekushinda ndo unataka kurudi kwa kuchafua hali ya hewa umenoa mkuu endelea kuishi hukohuko ukifagia na kuuza magazeti!! Finger print tutaendelea kuzichukua ili tuwatambue vizuri na iwe rahisi kuwatupa jela!!
   
 6. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #6
  Apr 22, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Wakirudi wataishi wapi maana visiwa vyenyewe havijai mkononi! Hata hivyo, sidhani kama lengo ni kuwazuia Wazanzibari kurudi kwao! Kwani wakirudi kwao si watafuata Sheria za Nchi na wakileta chokochoko wanadhibitiwa vilivyo?
   
 7. N

  Nonda JF-Expert Member

  #7
  Apr 22, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,960
  Trophy Points: 280

  Wakuu,
  wacheni ushabiki katika mambo mengine. Msipindishe facts. Wala msifanye siasa za kutishana.
  MICHUZI: BALOZI KALLAGHE AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO READING

  YouTube - Balozi Maajar akijitambulisha

  Hong Kong - Wikipedia, the free encyclopedia
  territory's 1,104 km2 (426 sq mi) area consists of Hong Kong Island, population 7million

  Zanzibar - Wikipedia, the free encyclopedia
  Zanzibar territory2,643 km2 (1,020.5 sq mi),population 1.5 million

  http://en.wikipedia.org/wiki/Mauritius#Geography

  Area - Total2,040 km2 (179th)
  787 sq mi - Population - 2008 estimate1,288,000[3] (151st) - 2000 census1,179,137 -
   
 8. N

  Nonda JF-Expert Member

  #8
  Apr 22, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,960
  Trophy Points: 280
  Abdulahsaf,

  Haya mambo ya fingerprint yanafanyika katika nchi nyingi tu, katika balozi nyingi pia unapokwenda kuomba visa.
  nchi nyengine wanachukua DNA sample pia.

  Kama uko safi huna cha kuhofia wala kuogopa. This is the age of total control, big brother world!

  Mabadiliko hayawezi kuzuiwa kwa kuwachukua watu fingerprint!
   
 9. Pharaoh

  Pharaoh JF-Expert Member

  #9
  Apr 22, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Na hao wazanzibari waliojazwa kwenye mabalozi wetu huko nchi za nje mnajua wanachokifanya? Wanaitangaza zanzibar yao tu, na wanafanya maandalizi ya kujitenga, balozi wetu italy ali karume, angalia wataliano walivyojazana zanzibar, uwekezaji umevimbiwa na wataliano z, halafu wanatishwa wasiende bara, bora waende kenya.
   
 10. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #10
  Apr 22, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135

  Hapopenye nyekundu panahusika, mimi nina wasiwasi na huyu mleta mada sababu kaonesha wasiwasi mkubwa kuhusu kuchukuliwa fingerprint atakuwa ana mgogoro somewhere!!!:alien:
   
 11. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #11
  Apr 22, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
  Kwanza kabisa siamini hii habari mpaka nione credible evidence, mtoa habari anaonekana kaibuka ibuka tu bila kitu concrete.

  Kwa hivyo, nitakachosema hapa chini ni philosophical opposition tu, na theoretical musing kwa wale wote wanaopenda kudiscuss hii mada as far as our civil liberties are concerned.

  Kuna jamaa mmoja US kwenye mjadala kama huu kuhusu privacy alisema "kama uko safi huna haja ya kuogopa", mtangazaji wa TV Marekani akamwambia naomba utupe Social Security Number (central/ unique identification number in the US) yako tuiweke live hapa kwenye TV, si uko safi, jamaa akakacha.

  Tatizo si wewe na usafi wako tu, tatizo hatuna hakika hata kuhusu usalama wa databases hizo na jinsi gani hizi biodata zinaweza kutumiwa. Tushaona vital info za watu zimekuwa leaked na Immigration, tumeona immigration officers wakigawa uraia kwa Wasomali en masse kama pipi. This is simply not the most efficient way of dealing with the purported problems, kwa sababu kama a corrupt immigration officer anataka kumpa uraia msomali, fingerprint zitazuia nini? Kwani Wwatanzania tu ndio wenye fingerprints?

  Hata ukisema ugaidi, fingerprint approach ni ractive zaidi ya proactive. Utataka kukimbizana na fingerprints wakati watu washablast? How about kuzuia blast in the first place? Sasa kama Mtanzania mmechukua fingerprint yake anaenda Afghanistan kwa kupitia Batani na kupata mafunzo huko fingerprint zitasaidia nini akirudi?

  This approach is wrong in so many levels for civil liberties minded people. Mainly because.

  1. Hamna mtu aliye safi, leta strategy inayofocus kwa watu wenye probable cause at least (even that can be controversial, but better than "mtego wa panya unasao waliotakiwa na wasiotakiwa.)

  2. Everybody is entitled to some dignity, fingerprinting is basically an invasion of privacy that should be reserved for miscreants and people with a reasonable cloud of suspicion due to some probable causes pregnant with the possibility of criminality.

  3. Mass fingerprinting assumes everybody is guilty until proven innocent. A bad premise towards totalitarianism.

  4. Nitaelewa kama wanataka kufingerprint wageni wanaotafuta uraia wa Tanzania, lakini raia wako mwenyewe fingerprinting is excessive.

  5. Excessive fingerprinting will not be cost effective.

  6. Excessive fingerprinting will defeat the purpose of having a meaningful fingerprints database, the system will have so much noise to make searching the proverbial pain of looking for a needle in the haystack.

  7. Mipaka yetu porous, kutumia hela kibao ku fingerprint watu itakuwa useless kama mtu anaweza kuingia kwenye njia za panya.

  8. Hizo fingerprint watachukua za Wwatanzania tu? Au na wageni pia? Wakiwaacha wageni si itakuwa kituko? Wwakichukua za wageni si ndio kuua utalii huko, what statement are you making when asking a privacy conscious American or Briton that they have to be fingerprinted before getting in Tanzania. I mean America has greater concerns about terrorism, but they don't fingerprint everybody, least of all their own citizens.

  The more I think about this, the more unreal it seems. Na kama itakuwa kweli nitasikitika sana maana itakuwa inaonyesha udogo wa upeo wa viongozi wetu.
   
Loading...