Bila ya upinzani tanzania,yebo ingekuwa ndio mchomoko wetu

Mrs Eliud

Member
Nov 21, 2010
11
2
Najaribu kuangalia hali tuliyonayo watanzania kwa muda wote huo tangu tupate uhuru (kujetegemea kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni) naona hali ni mbaya kabisa laiti kabisa tusingekuwa na mfumo wa vyama vingi sidhani kama tungeweza kununua hata yebo.

Ndugu zangu watanzania hususani wewe ulijivua gamba, tuache ushabiki watu wanakufa na kuumia bila sababu-wewe uliyejivua gamba kwa nini kama umejivua gamba usihamie kwetu? kwani mimi najua kama nyoka kajivua gamba bado ataendelea kudunga watu sindano(kuuma) bado sina shaka kabisa nyaka kama amemuona adui hujifisha ili ampate vizuri, usidhani kuwa tumelala wewe jivue hata mara 10 sie tupo macho, na siku moja utajua----------(Watanzania tuviombee vyama vyetu vya upinzani kwa nguvu zote bila kukisahau cha cha CHADEMA.
 
Back
Top Bottom