Diwani wa Chadema akamatwa na Bunduki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Diwani wa Chadema akamatwa na Bunduki

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by muhosni, Apr 17, 2011.

 1. muhosni

  muhosni JF-Expert Member

  #1
  Apr 17, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Channel ten wametangaza katika taarifa ya habari asubuhi hii.

  Mkuu wa mkoa wa Mara amemkamata diwani wa Chadema katika kata moja wilayani Serengeti akiwa anamiliki bunduki AK47 kinyume na sheria. Alikiri kwamba yeye na ndugu zake wamekuwa wakimiliki

  Alichukuliwa kutoka kikao cha madiwani akahojiwa na kukiri. Kisha akawapeleka kwenda kuwaonesha mahali alipoifukia

   
 2. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #2
  Apr 17, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Hao ni wanaume wa kaz slaha muhmu
   
 3. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #3
  Apr 17, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Why wasimkamate RA kwa isue ya KAGODA? Bunduki kitu gani
   
 4. k

  kausha Member

  #4
  Apr 17, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 73
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Jambazi, haramia, muuaji, jangiri,
   
 5. only83

  only83 JF-Expert Member

  #5
  Apr 17, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  .......Ni mtanzania wa kawaida kwahiyo hayo ni makosa binafsi yasiusishwe na chama.....cha msingi uchunguzi utafanyika tutajua ukweli..tusubiri...
   
 6. k

  kakini Senior Member

  #6
  Apr 17, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 197
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hayo ni makosa ya binfsi sio chama mbona Chenge hamsemi????
   
 7. Nyami2010

  Nyami2010 JF-Expert Member

  #7
  Apr 17, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kama ni kweli, hilo ni kosa la huyo Mh. Diwani kama yeye. Kwa vyovyote vile hilo kosa halina uhusiano na dhehebu lake la dini au itikadi yake katika chama chochote.

  Tuache ushabiki, tusimamie ukweli penye ukweli.
   
 8. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #8
  Apr 17, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Sasa alikuwa ameifukia ili iweje, au hajui sisi huku Arusha tunatawaliwa kimabavu....
   
 9. Mujumba

  Mujumba JF-Expert Member

  #9
  Apr 17, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 854
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  and why do u associate chenge,lowasa and rostam with cccm?? bogus kabisa wewe
   
 10. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #10
  Apr 17, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kwahiyo unamaanisha badala ya kuifukia angekuletea huko arusha???!!!
   
 11. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #11
  Apr 17, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  hivi ile ya ukiwaona dito iko wapi?
   
 12. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #12
  Apr 17, 2011
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  chadema ni chama cha watu kama hawa, wasiofuata sheria wala kanuni
   
 13. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #13
  Apr 17, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  mkuu, kama ni swali jibu lake ni ndiyo....
   
 14. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #14
  Apr 17, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  1. Ditopile alikuwa chama gani alipouwa?
  2. Maokola Mjogo alikuwa chama gani alipokamatwa airport india akiwa na risasi za hiyohiyo AK47?
   
 15. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #15
  Apr 17, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Halafo toka lini mkuu wa mkoa akafanya Upolisi? Ndio kazi yake kweli?
   
 16. muhosni

  muhosni JF-Expert Member

  #16
  Apr 17, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Sielewi ni vipi wengine wanakimbilia kufikiri inahusishwa na chama chake.

  Amesikika kwenye tv akihojiwa na mkuu wa mkoa akakiri kwamba anamiliki silaha aliyopewa na "jamaa mmoja". Kisha akaongoza msafara wa mkuu wa mkoa kwenda kuifukua

  Baadaye akasikika anaomba msamaha kwa wanakijiji wenzake

  Swali langu ni kwa nini kazi ya upelelezi na interrogation ifanywe na mkuu wa mkoa . Kisha kwa nini tv zialikwe kuanzia kumkamata, kumhoji, kukubali kwake, na kwenda kuifukua

  Kwangu mimi ilikuwa kama natazama igizo badala ya habari. Hasa RC alipokuwa ana act kama Rambo na vile alivyokuwa anasifiwa na mleta habari - Mabere Makubi
   
 17. Bepari

  Bepari JF-Expert Member

  #17
  Apr 17, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 814
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 60
  Hapo lazima kuna kitu Ccm wamefanya, lazima!!
  Duh kuwa mwanachadema raha, yaani unapata excuse kwa kila kosa, ukisababisha watu wauawe ni kosa la Ccm kuchakachua, kukamatwa na silaha ni sisiem wamepanga njama, kiongozi kuhamia Ccm ni mafisadi wamemhonga.
  Halafu yakifika shingoni dawa ni kumkana tu. "Ni mwananchi mhalifu tu huyo haihusiani na Chadema" which is true, sema tatizo hiyo busara hujitokeza pindi Mchadema anapolitinginya tu. Siyo Msisiem...
   
 18. C

  CHESEA INGINE Senior Member

  #18
  Apr 17, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 180
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Nina wasi wasi huyu anaweza akawa pandikizi la ccm. Kwa nini ikawa kirahisi rahisi kukubali na kwenda kuonyesha ilipo na kukiri?
   
 19. Kirode

  Kirode JF-Expert Member

  #19
  Apr 17, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,573
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  huyo walimseti hata kama angekuwa mwizi wa kweli asingejirahisisha kiasi icho na kuionyesha haraka, yote kwa yote ningefurai kama angetuletea huku arusha ssiku ile ya maabomu:alien:
   
 20. malkiory

  malkiory JF-Expert Member

  #20
  Apr 17, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 272
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sioni jipya hapa kukamatwa na silaha hakuna usiano na siasa. Kama anamiliki silaha kimakosa sheria itachukua mkondo wake na wala hakuna haja ya kumhusicha na CHADEMA.
   
Loading...