Sheria kwa hili vipi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sheria kwa hili vipi

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Rutunga M, Apr 17, 2011.

 1. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #1
  Apr 17, 2011
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,556
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Wakubwa mimi nauliza hivi TAKUKURU wana mamlaka kisheria kuchunguza NGO yoyote tanzania iliyopewa fedha na wafadhili wa nje kuhusu tuhuma za mambo ya rushwa nk bila kuombwa na wafadhili au kwa NGO yenyewe.

  na wakichunguza inakuwa ni kwa maslahi ya nani?,hata wakibaini labda wamebaini jambo watawapekeka labda Mkurugenzxi wa NGO kumshtaki kwa kosa lipi?
   
 2. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #2
  Apr 18, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  .....Kifungu cha 7 na 15 vya Sheria ya kuzuia na kupambana na Rushwa namba 11, 2007 inajibu maswali yako, etc. soma attachment
   

  Attached Files:

 3. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #3
  Apr 18, 2011
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,556
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160

  Asante sana mkuu
   
Loading...