Kwanini kesi nyingi huishia polisi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini kesi nyingi huishia polisi?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Slave, Jun 3, 2011.

 1. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #1
  Jun 3, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Heshima kwenu wana jf.kwanza kabisa natoa shukrani kwa wote ambao mmekuwa mkitoa ushauri na maelekezo ya namna ya kutatua matatizo. Ndg zangu kuna jambo nimelisikia eti kati ya kesi 100 zinazofunguliwa polisi,ni kesi 40 tu ndizo ambazo hufikishwa mahakami na hizo 60 huishia polisi, eti sababu zipo nyingi ila 3. ndiyn kubwa 1. mlalamikaji kukwepa usumbu 2.kuogopa kugeukiwa na kesi. 3.kutojua sheria.je? Nikweli kesi nyingi hazifikishwi mahakamani kwa sababu hizo?kwa faida ya wengi naomba mnifafanulie hili.
   
 2. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #2
  Jun 3, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  nikweli kabisa tena hata hizo asilimia 40 ni kubwa sana ukiona wa2 wamefikishana polic ujue wameshindwana na wakifika watamalizana pale pale mana polic nao wanacheza na pande zote 2 akiona upande mmoja unakomaa na akuna jinsi watakwambia uckubali nenda nao mahakamani kesi itakuwa hivi na vile ni chache sana zinazokwenda mahakamni
   
 3. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #3
  Jun 3, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,698
  Likes Received: 8,235
  Trophy Points: 280
  I thought ni kwa sababu huwa hazina sababu ya kwenda mahakamani! Yaani kama polisi wameshindwa kuwapatanisha/kusuluhisha mgogoro then ndo mnashauriwa muende mahakamani kama last resort ya kupata haki idaiwayo!
  ni mtazamo tu..
   
 4. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #4
  Jun 5, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  ok ,hapo nimekuelewa. Yawezekana kumbe sio polisi tu. Ukianza na kesi zinazo anzia kwa wajumbe.inamaana zipo nyingi.sana
   
 5. jockey emmanuel

  jockey emmanuel JF-Expert Member

  #5
  Jun 5, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 330
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  I think bcoz most of cases are nt important,kec nyingi ni za kufumaniana,kutukanana na vtu kama hivyo...hivyo inakuwa easy 4 polisi kutatua na kuymaliza kec hizo hukohuko kituoni
   
 6. T

  The Priest JF-Expert Member

  #6
  Jun 5, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 1,026
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Watu wengi ni waoga na hajui sheria,polisi nao ni wajanja hawapendi kupeleka kesi mahakamani,kwanza hawajui kuandaa charge,na pili ushahidi unakuwa hautoshi,pia wanaogopa usumbufu lakini pia hata kesi zinazokwenda mahakamani ambazo ni chache nazo znachakachuliwa palepale!system ndio mbovu tu,polisi siku hz ndio wamekuwa mahakama,kila kesi watataka mmalizane wenyewe,ukiwa unajua haki yako ndio watapeleka mahakamani.
   
 7. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #7
  Jun 5, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  kweli kabisaaa nakumbuka mwaka juzi rafiki yangu mmoja alikosana na askari,akatengenezewa kesi ya kubaka,kama ulivyosema hapo juu jamaa aliomba kesi iende mahakami walipomuna jamaa anamsimamo wakamwambia ajizamini tokea hapo ikawa hakuna kesi tena.
   
Loading...