Jaji mkuu, haki inachezewa nyumbani kwako na unakaa kimya- | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jaji mkuu, haki inachezewa nyumbani kwako na unakaa kimya-

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by CHUAKACHARA, Jun 4, 2011.

 1. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #1
  Jun 4, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,827
  Trophy Points: 280
  Ndugu wa marehemu na watu waliokatwa miguu, kwa ajali aliyoisababisha Jaji Rugazia, bado wanasumbuliwa na Jaji yupo kazini na wala hajafikishwa mahakamani, au kutoa tamko lolote li haki itendeke na ionekane imetendeka. Inawezekana sheria inamlinda jaji hata akiua watu kwa ulevi tu!!!!!!!!!!! kama sheria inasema hivyo, SAWA, LAKINI NI VYEMA KULITOLEA TAMKO. HII NI KULINDA HESHIMA YA MAHAKAMA NA IMANI YA MAHAKAMA KWA RAIA.
   
 2. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #2
  Jun 4, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,922
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Ndugu hapa Tzzvyongo watu wengi wapo juu ya sheria...rejea!!
  Mkapa...(mwacheni apumzike)
  Edward Lowasa...
  Andrew Chenge...
  Rostam...
  Karamagi...
   
Loading...