malipo ya fidia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

malipo ya fidia

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by bwanafundi, May 29, 2011.

 1. b

  bwanafundi Member

  #1
  May 29, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  ndugu zangu wanajukwaa hili naomba kwa anaejua namna malipo ya fidia yanavyofanywa kwa mtu ambaye barabara ndilo limemfuata,naomba nipewe utaratibu mzima na bei na vipimio vitumiwavyo na bei zake,nazumgumzia nyumba iliyochorwa (x) inayostahili fidia.asante.
   
 2. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #2
  May 30, 2011
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Hakuna bei kwa sababu hawanunui nyumba yako. Unafidiwa thamani ya kile ambacho utapoteza, i.e nyumba nzima au kipande na mali zingine kama zipo. Watathmini (valuers) wa serikali ndio wanaokadiria nini ufidiwe na thamani yake. Mara nyingi fidia unayopata haiwezi kukuwezesha kujenga nyumba kama hiyo inayobomolewa kwa sababu gharama za vitu wakati wa kujenga zinakuwa ndogo kulinganisha na wakati unapofidiwa. Kwa maneno mengine lazima utapata hasara.
   
 3. Caren

  Caren JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2011
  Joined: Feb 12, 2010
  Messages: 280
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Tafuta valuer akupe estimation ya nyumba yako. nenda kasajili hiyo estimate kwa mthamini mkuu wa serikali. Siku wakija kubomoa na wakakupa fidia isyolingana na thamani halisi go and lay your claim in a court of law. Otherwise ukitegemea serikali watakupiga changa la macho.
   
Loading...