Hii hukumu sahihi

wanatamani

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
415
144
NINA RAFIKI YANGU ALIKIUWA NAKESI HUU MWAKA KARIBU WA12.IPO HIVI BABA YAKE ALIKUWA ANAMILIKI ENEOMAENEOYA FERY KIGAMBONI KABLA YA SERIKALI HAIJAPIMA ALIKUWA YUPO HAPO.WAKATI SERIKALI INAPIMA ILITOA OFA ,BABA YAKE KWA KUWA ALISHAKUWEPO PALE ALIAMUA KUOMBA.KABLA HAJA MILIKISHWA RASMI, ALIKUJA MTU MMOJA NA KUMUAMURU ATOKE PALE KWANI HUYO MTU ALISHA MILIKISHWA NA SERIKALI, BABA YAO HAKUWA NA JINSI ALIOMBA ALIPWE KWANI ALISHA WEKEZA PALEKULIKUWA NA MABANDA YA BIASHARA ZAKE ZA KILA SIKU. HIVYO AKAOMBA KULIPWA ,IKAAMULIWA ALIPWE SHILINGI MILIONI MOJA NA NUSU KWA KIPINDI HICHO. YULE MTU AKAKATAA KUMLIPA, MIAKA IKAPITA KAMA MIWILI HIVI AKAJA MTU MWINGINE AKIDAI AMEUZIWA (KIPINDI CHOTE TOKA IAMULIWE MZEE ALIPWE ALIKUWA BADO YUPO KWENYE ENEO HILO) MZEE AKAAMUA KULALAMIKA KWA RAIS (KIPINDI HICHO RAIS ALIKUWA HASSAN MWINYI) HUYO MTUAKAANDIKIWA SAMASI (NAKALA IPO) HAKWENDA ,ITAKANGAZWA KWENYE GAZETI LA SERIKALI UHURU,(NAKALA IPO).IKAAMULIWA TOKA KWA RAIS MZEE AENDELEE KUMILIKI SEHEMU ILE NA NI HALALIKWAKE.(NAKALA TOKA IKULU IPO ILIANDIKWA NA KATIBU MKUU).
MIAKA IKAPITA RAIS MWINYI ALIPO ONDOKA JAMAA WAKAFUNGULIA KESI ILIYODUMU KWA MUDA WOTE HUO(MPAKAMZEE AMEFARIKI).WATOTO WAKE NDIO WANAENDELEA NA KESI MAJUZI IMETOKA HUKUMU JAMAA AMEPEWA USHINDI. RAFIKI YANGU AMEOMBA NAKALA YA HUKUMU HAJAPEWA ANAZUNGUSHWA CHA AJABU AMENIELEZA AMESHA TOA 70000 Tsh .NA HAJAPEWA. RAFIKI YANGU HUYU HANAUWEZO NI MASIKINI KAMA MIMI NATAMANI NIMSAIDIE SINA UWEZO WA KIFEDHA WALA WA KISHERIA.NAOMBA TUMSAIDIE
 
kama ni mpenda mabadiliko mshauri aende akamwone mabere marando atamsaidia buree,amesaidia wengi
 
Nenda Tanganyika Law Society au LHRC watakupa msaada wa Bure. TLS wako maeneo ya Ada Estate karibu na mbuyuni. LHRC wako Kinondoni Biafra.
 
Back
Top Bottom