EWURA na CHAMA CHA WALAJI WAPO?

Kihodombi

Member
Jan 23, 2012
39
7
Jamani hivi hawa SUMATRA na chama cha walaji wanafanya kazi kweli?
Ukipanda kwenye magari yanayojiita luxury hamna ulaxury wowote,mikanda hamna, AC hamna, mavioo ya madirisha yanapiga makelele, na nauli ndo usiseme (especially Dar to Arusha)
On the other hand baadhi ya mabus na daladala seat ni mbovu bala kiasi unaweza kukatwa na vyuma,
Je wako kwa ajili ya kutetea maslahi ya abiria kweli?
 
hivi ewura bado wapo? kuna kipindi niliona wamespecialize na bei za mafuta tu...
halafu sikujua kuwa kuna chama cha walaji, kazi yao nini?
 
Mkuu Kihodombi (au Mwangata) nadhani unazungumzia SUMATRA hapo.

"EWURA Consumer Consultative Council (EWURA CCC) is a Council established under section
30 of the Energy and Water Utilities Regulatory Authority Act, 2001 Cap 414. The objectives of
the Council are to safeguard and protect the interests of Consumers of EWURA regulated
services which are namely; Water, Electricity, Petroleum and Natural Gas."

Source: http://www.ewura.go.tz/pdf/TarrifAp.../intervensions/CCC comment on SONGAS appl.pdf
 
We ukishapanda basi inatakiwa usali ili ufike salama ndugu yangu hayo ya EWURA yaache yanachefua sana,ni sehemu tu ya walaji wa nchi yetu na ni miongoni mwa taasisi inayowalipa wafanyakazi wake mshahara mzuri sasa sijui kwa kazi gani
 
Back
Top Bottom