Inasemekana Dr. Namala Mkopi kiongozi anahojiwa Central Police muda huu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Inasemekana Dr. Namala Mkopi kiongozi anahojiwa Central Police muda huu

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Electron, Jul 9, 2012.

 1. Electron

  Electron Member

  #1
  Jul 9, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari nilizo nazo toka kwa chanzo kinachoaminika (mmoja wa madaktari) amesema kuwa kiongozi wa MAT (siyo Jumuiya ya Madaktari), Dr. Namala Mkopi anahojiwa muda huu hapo Central Police Station..... alipigiwa simu kuitwa kutoa maelezo eti kwa nini amekiuka amri ya mahakama ya kutositisha mgomo!!!!!!!

  N.B. Mgomo wa madaktari uliitishwa na Jumuiya ya Madaktari nchini, chini ya uongozi wa Dr. Ulimboka na kamati yake dhabiti ukiungwa mkono na madaktari nchini. Aidha Dr. Namala alishakanusha kuwa si yeye wala MAT iliyoitisha mgomo.


  Je mahakama na polisi wameingia chaka!! wanasheria tujuzeni!


  More to come
  Keep your friends close and your enemies closer. Don Coleorne
   
 2. m

  mang'ang'a JF-Expert Member

  #2
  Jul 9, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 664
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  Labda ni kwa sababu ya hii
   

  Attached Files:

 3. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #3
  Jul 9, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mhh!! Its becoming ... !!!?
   
 4. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #4
  Jul 9, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Absolutely na mie nimeisoma..... Sinema inaendelea.....
   
 5. C

  Chikwakara Senior Member

  #5
  Jul 9, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 100
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huyu naye kama msaliti tu kwa madaktari, hasiki akitoa msimamo wake wakati yeye ni kiongozi mkuu wa mat. Aseme anaunga mkono mgomo au yuko upande wa serikali na si kumbwelambwela tu
   
 6. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #6
  Jul 9, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  wazee wa intelejensia za kipinzani.ukipinga ccm ndo wanafnya intelejensia zao. i hate you police
   
 7. W

  Wimana JF-Expert Member

  #7
  Jul 9, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 2,453
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 145
  Sasa hizi propaganda za mgomo kuisha zinatoka wapi?
   
 8. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #8
  Jul 9, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mbona hawajamuita ACP Msangi kuhojiwa kwa sababu anatuhumiwa kushiriki kumteka na kumtesa Dr. Ulimboka????
   
 9. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #9
  Jul 9, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145

  Hata mimi nilishangaa kumbe ukweli unasaidia kuliko propaganda haaaaaah!!!!
   
 10. b

  blessings JF-Expert Member

  #10
  Jul 9, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 5,073
  Likes Received: 2,860
  Trophy Points: 280
  Mgomo unaendelea jamani MUHIMBILI hakuna huduma kabisa
   
 11. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #11
  Jul 9, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,227
  Likes Received: 1,414
  Trophy Points: 280
  jamani , ebu tuwekee picha ya huyu ACP Msangi ili akija hospitali tumpe tiba sahihi.
   
 12. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #12
  Jul 9, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,540
  Likes Received: 10,469
  Trophy Points: 280
  kwani mgomo bado upo.?
   
 13. Brightman Jr

  Brightman Jr JF-Expert Member

  #13
  Jul 9, 2012
  Joined: Mar 22, 2009
  Messages: 1,233
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Haupo...!
   
 14. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #14
  Jul 9, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,227
  Likes Received: 1,414
  Trophy Points: 280
  mi nadhani anahojiwa juu ya MAT kuitaarif humuiya ya/za kimataifa kuhusu usalama wa madaktari.
   
 15. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #15
  Jul 9, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,540
  Likes Received: 10,469
  Trophy Points: 280
  sasa anahojiwa kwa lipi ikiwa vyombo vya habari vya serikali vinatangaza kwamba mgomo haupo.?
   
 16. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #16
  Jul 9, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  jana iliwekwa hapa bhana,,,,,kwenye ile thread ya video ya dr Uli
   
 17. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #17
  Jul 9, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  mmmmh,,,,,,,hakuna ajuaye ila yeye mwenyewe
   
 18. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #18
  Jul 9, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Nimeisoma hiyo barua, kwani kuna jambo gani hapa serikali inaogopa? Ukweli uko wazi na Dr. anaendelea vizuri na ana fahamu zake kila kitu kitakuwa hadharani. Kwa hakika waliotenda ile kazi walijua wamemaliza kazi kumbe Mungu amempangia kila binadamu kifo chake?!!!!!!! Cha msingi serikali ikubali kuwa fani ya udaktari na ualim si ya kuchezea na iwe na busara na majibu ya viongozi waandamizi wa serikali. Ni vema busara itumike kuongea na hawa ndugu zetu maana ni wasomi wa miaka 7 na si chekechea hawa!!!!! Huduma ya afya ni nyeti hasa kwa sisi ambao hatuna uwezo wa kwenda private au nje ya nchi kwa matibabu. So sad that the crisis is on and no sustainable solution to it. For now, I believe Tanzania lacks mediation expects!!!!!!! So sad our relatives and friends are dying out there na hakuna anayejigusa kuongea inavyopaswa na hawa madaktari. Yaani hadi sasa ni kimya kabisa!!! Hivi kweli wakiacha kazi Tanzania ina uwezo wa ku-hire nje ya nchi? Watawalipa expetriate remunerations au ni vipi? Kwa hakika the medical workforce shortage is a crisis in Tanzania halafu tena waache kazi? Let us be frank and look for a better way to solve it na tuache ubabe na vitisho.
   
 19. fige

  fige JF-Expert Member

  #19
  Jul 9, 2012
  Joined: Jul 4, 2010
  Messages: 376
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Baada ya hotuba ya Raisi bado amri ya mahakama inafanya kazi ?
   
 20. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #20
  Jul 9, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,140
  Likes Received: 7,391
  Trophy Points: 280
  Amri ya Mahakama haifanyi kazi tena,

  Bali ya PM-MP ya "liwalo na liwe" ndio iko active sasa!!!
   
Loading...