Afungwa JELA kwa kuuza NYAMA YA MBWA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Afungwa JELA kwa kuuza NYAMA YA MBWA

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Bajabiri, Jul 14, 2012.

 1. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Godfrey Sanga amehukumiwa kwenda jela kifungo cha miaka mitano baada ya mahakama kuthibitisha kuwa julai 7 alichinja mbwa wanne na kuwauza katika klabu ya pombe za kienyeji iitwayo TUPENDANE,kijana huyo pia amekiri mbele ya mahakama hiyo ya mkoni njombe kuwa si mara ya kwanza kwake yeye kuuza nyama ya mbwa na mara nyingine huwa anachuna mizoga iliyokufa na kuanza kuichuna ngozi na pia kuuza nyama kilabuni hapo,
  sosi:RFA
  NB:kama hili limetokea njombe,basi tuwe makini na mahali popote,huyu jamaa hayupo peke yake,niliwah kuleta bandiko hapa kuwa kuna jamaa hapo magomeni alikamatwa kwa tabia ya kuuza kuku waliokufa
   
 2. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #2
  Jul 14, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Hizi "supu" tunazokula zina mambo mengi sana.
   
 3. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #3
  Jul 14, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  wamemuonelea tu, mbona ya nguruwe inaliwa na wanaangalia tu na huku wakijua fika kuwa inawakera wanajamii wengine?
   
 4. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #4
  Jul 14, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  be! mbona kule kwetu tunakula tu! kakaa nye!
   
 5. stineriga

  stineriga JF-Expert Member

  #5
  Jul 14, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 2,033
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  kosa linakuwa pale unapowauzia wengine na kutumia hiyo nyama pasipo wao kujua,

   
 6. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #6
  Jul 14, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Royals,kwa wale walioridhia,,,,,,,,,huenda hakua anasema kuwa ni nyama ya wu wu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #7
  Jul 14, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  sure riga,,,,,,mfano kuwalisha watu mizoga.....ambapo mshtakiwa bwana Sanga alikiri mbele ya mahakama kuwa huwa anaokota mizoga na kuichuna ngozi na kisha kuwauzia watu,,,,
   
 8. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #8
  Jul 14, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 841
  Trophy Points: 280
  Hiyo tupendane ipo wapi?
   
 9. f

  filonos JF-Expert Member

  #9
  Jul 14, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 651
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  wamemuonea 2 sababu amekosa mtetezi hata sisi kwetu Ngombe haram NI BAGUAN HUYOOO je nao tuwafunge...basi hata wachinja NGURUWE nao wafungwe lakini wauza TWIGA wana peta nnchi ya wanyonge hii
   
 10. Thanda

  Thanda JF-Expert Member

  #10
  Jul 14, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,915
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kuna mwingine kule Singida naye alikuwa anafanya biashara hiyo. Yeye alikuwa mtaalamu sana na hakuwahi kukosa hicho kitoweo. Wateja wake wakikuwa wanamsifia kwa kuuza "nyamapori" ya ukweli.

  Mbinu alizokuwa anazitumia: Yeye ni muwindaji (sungura, swala, nyumbu-ingawa hakuwa na kibali)hivyo kila siku alikuwa anatoka na mbwa wake visu viwili vikali na upinde na mishale. Akiona mbwa anamvuta kwa kutumia yule wake then anamwua na kumbeba, anaenda katika pango lake na kumchuna. Nyama anaiuza na vichwa anakula yeye mwenyewe. Hadi anakamatwa alikiri kuwa na hazina kubwa ya nyama kavu za mbwa hao, na mahali zilipo na wateja wake ni akina nani...:hungry:

  Ukishangaa ya Musa utaona ya Firauni...mmoja kati ya wateja wake baada ya kuona "jamaa" yao kakamatwa alilaani sana kwani asingeendelea kupata kitoweo kwani kilikuwa ni bei rahisi mno.:closed_2:
   
 11. Thanda

  Thanda JF-Expert Member

  #11
  Jul 14, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,915
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Sishangai .............tembelea mtandao huu (www.163.com) uone vile wengi tunakula mizoga katika "supermarkets" kutoka China, Japan, Hong Kong na kwingineko
   
 12. M

  Mmwaminifu JF-Expert Member

  #12
  Jul 14, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 1,096
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Bela ndauli!
   
 13. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #13
  Jul 14, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Alifungwa kwa sheria ipi?
   
 14. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #14
  Jul 14, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Sheria kuuza mizoga,angekuwa amechinja na ametangaza kama ni nyama ya mbwa sithani kama kuna shida.
   
 15. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #15
  Jul 14, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
 16. S

  Sting007 JF-Expert Member

  #16
  Jul 14, 2012
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 275
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Karibu na soko la Wakulima Njombe; kwa hali hii nahisi na mimi nimekula nyama ya mbwa au nishakula nyama ya mnyama huyu kwa kuishi kwangu Njombe bila kufahamu.
   
 17. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #17
  Jul 14, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 841
  Trophy Points: 280
  Pole sana aisee yani hata kama ni IRINGA lakini kumlisha mtu MBWA bila idhini yake ni hatari, Wewe chukulia hujalishwa utakaa kwa amani.
   
Loading...