Serikali yahakikishiwa madaktari internship 700; waliogoma 400 kufutiwa leseni ya udaktari?

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573
Serikali imepata haueni baada ya Vyuo vikuu ; kuhihakikishia serikali mwishoni mwa mwezi huu itaondokana na tatizo la madktari wa INTERNSHIP 400 Waliogoma;
Vyou hivyo ni
muhimbili
st john
Bugando
Immtu
Kahiruki n.k

Vyuo hivyo vimejinasibu vitaingiza madaktari hao 700; kuziba 400 walioacha kuhudumia hospitali zetu;

Mwajili wa waliogoma KATIBU MWANJIRI; Kakataa kuwapokea na kuwaeleza kuonana na Medical council.

Ambaye kwa sheria anatakiwa kuwafutia leseni za udaktari waliokuwa wameusomea kwa miaka 5++

Ugumu wa internship wakifutiwa leseni awatatambulika km madktari maishani.

na fedha za bodi ya mikopo 20 millioni watatakiwa kulipa

Ni vigumu kuomba chuo kikuu kwa kutumia jina waliokuwa wakitumia bse of computerizide system tracking.

KARIBUNI MTAANI MPAMBANE NA SISI UNEMPLOYED
ACC
SOCIOLOGY
SHERIA
N.K

Unemployed Benefit
 
Attachments

  • doctor.jpg
    doctor.jpg
    34.5 KB · Views: 113
Naona unatapatapa kama mtu anayetaka kukata roho!! Hao mabwana zako wamekutuma uje hapa na utumbo kupima upepo??
 
Kwani TATIZO ni kutokuwepo kwa hawa intern 400, ama kutokuwepo kwa vifaa na maslahi ya madaktari. Je hawa wakipatikana wataweza kuziba pengo la upungufu wa vifaa? Je kunauhakika kuwa hawa hawataungana na wenzao? Pia inatia shaka pale serikali kupata uhakika wa upatikanaji wa interns kabla hata mitihani yao haijamalizwa kusahihishwa, je wamefaulu wote hao? Haitakuwa busara kutumia siasa kulazimisha vigezo vya taaluma ili kupatikana kwa wataalamu. Taaluma na Siasa ni mikondo miwili tofauti.
 
Unajua mtoto akiwa anajifunza kuongea huropoka lolote analoambiwa atamke!! Subiri ukue ndio uongee.
 
mbona jk alisema wanasomeshwa bure wewe unasema watalipa mikopo!!
 
umetumwa kuharisha ujinga humu eee, hao interns wataenda kufanya kazi chini ya nani wakati madaktari bingwa (specialists) na wanaosomea ubingwa nao wamegoma, si mnataka watoto wa watu watuue wananchi pumbavu zenu, kawaambie waliokutuma wakokotoe na kurekebisha primary problem kwanza!

2nd taratibu za kulipa mkopo zinaanza tu pale mtu anapokuwa na ajira, na deni halina riba. Still wanaweza kuajiriwa kwenye mashirika mengine vilevile kama ya bima, na miradi mbalimbali ambayo ni health related, hailazimu mtu awe amefanya Internship.... kwa taarifa yako hata Mh. Mwinyi , waziri wa Afya hakumaliza internship Muhi2 wakati wake......
 
Kutoelewa kwingine ni balaa hivi wewe unajua maana ya intern na kufanya kazi "mtu wa sector ya afya ie doctor,pharmacist , nurse , laba sciestist, env wakimaliza masoma ya degree wanatakiwa kufanya internship ili kupata lesen ya kufanya kazi hospitalini" lakini wanapomaliza tayali wanakuwa na cheti cha kuwaidhinisha kuwa wana degree hivyo wanaweza kufanya shughuri nyingine zisizohusu kutibu hospitalini mfano kufanya kazi kwenye mashirika vile vile hawazuiliwi kusoma master kwa kukosa lesen kuna aina nyingi za master kuna za clinical na science . hivyo kuchekelea kuwa wanakuja kuungana na wewe ni ndoto maana kuna ajira nyingi nje ya kufanya kazi hospitalini . vile vile kusema serikali inategemea kupokea intern wapya wewe unafikiri watatoka ulaya au ni wale wale tu .usiwe na akili za kijinga kushabikia mambo bila kujua mimi sishabikii mgomo maana unasababisha vifo ila ulivyoandika inaonyeha hutumii vizuri akili yako ukitaka kujua afya haitakiwi kuwa siasa nenda muhimbili mtu mahututi anatakiwa aende legency kuchukua CT scan inawezekana au kusababisha vifo
 
Serikali imepata haueni baada ya Vyuo vikuu ; kuhihakikishia serikali mwishoni mwa mwezi huu itaondokana na tatizo la madktari wa INTERNSHIP 400 Waliogoma;
Vyou hivyo ni
muhimbili
st john
Bugando
Immtu
Kahiruki n.k

Vyuo hivyo vimejinasibu vitaingiza madaktari hao 700; kuziba 400 walioacha kuhudumia hospitali zetu;

Mwajili wa waliogoma KATIBU MWANJIRI; Kakataa kuwapokea na kuwaeleza kuonana na Medical council.

Ambaye kwa sheria anatakiwa kuwafutia leseni za udaktari waliokuwa wameusomea kwa miaka 5++

Ugumu wa internship wakifutiwa leseni awatatambulika km madktari maishani.

na fedha za bodi ya mikopo 20 millioni watatakiwa kulipa

Ni vigumu kuomba chuo kikuu kwa kutumia jina waliokuwa wakitumia bse of computerizide system tracking.

KARIBUNI MTAANI MPAMBANE NA SISI UNEMPLOYED
ACC
SOCIOLOGY
SHERIA
N.K

Unemployed Benefit

Mkuu kabla ya kushabikia kitu jua kwanza undani wake na uwe na taarifa za kutosha.Kwa faida yako na wasio jua ka ww..kufutiwa leseni sio kufutiwa degree yako..na naomba ujue kwamba udactari ni zaidi ya kutibu!!kuna kazi nyingi sana ambazo Dr anaweza fanya,preventive medicine is the one na aihitaji lessen ya kutibu...
 
Nafikiri serikali imeamua kutumia misuli yake kwa madaktari swali je nani atashinda katika pambano hili.Nina wasiwasi kuwa baadhi ya madaktari wanaweza kufutiwa usajili na baraza la madaktari kwa muda je katika kipindi hicho cha mpito wataweza kuhimili maisha na kama wakishindwa watafanya nini.Katika mapambano makali kama haya ni vizuri kukawepo na plan B na plan C na mojawapo ni kuweka mlango wazi wa majadiliano hata kama ni ya siri na serikali ili kukawepo na win win situation,
 
Mleta mada hina jipya, kwa taarifa yako hao Interns woote 400 watapangiwa tu Hospitali, ni mambo ya divide and rule ndo yanaendelea. So usiote kuwa watakosa kazi. Kama wewe umepiga Ma Accounts yako na huna kazi usiwaombee wenzako ubaya!
 
Serikali imepata haueni baada ya Vyuo vikuu ; kuhihakikishia serikali mwishoni mwa mwezi huu itaondokana na tatizo la madktari wa INTERNSHIP 400 Waliogoma;
Vyou hivyo ni
muhimbili
st john
Bugando
Immtu
Kahiruki n.k

Vyuo hivyo vimejinasibu vitaingiza madaktari hao 700; kuziba 400 walioacha kuhudumia hospitali zetu;

Mwajili wa waliogoma KATIBU MWANJIRI; Kakataa kuwapokea na kuwaeleza kuonana na Medical council.

Ambaye kwa sheria anatakiwa kuwafutia leseni za udaktari waliokuwa wameusomea kwa miaka 5++

Ugumu wa internship wakifutiwa leseni awatatambulika km madktari maishani.

na fedha za bodi ya mikopo 20 millioni watatakiwa kulipa

Ni vigumu kuomba chuo kikuu kwa kutumia jina waliokuwa wakitumia bse of computerizide system tracking.

KARIBUNI MTAANI MPAMBANE NA SISI UNEMPLOYED
ACC
SOCIOLOGY
SHERIA
N.K

Unemployed Benefit

mkuu let me give you a clue, hausomi five years kupata leseni ya kutibu kaka, na medical council inahusika kutoa leseni, sasa intern wanawork ili wapewe leseni, wewe unasema watafutiwa leseni zipi? another thing chuo unapata academic credential from which you can be a reseacher, tutor or go for further studies, you are a doctor and you will remain a doctor all of your life, medical council inakupa leseni ya kutibu tu, and hawa medical council wanasimamaia malpractive in clinicalk cases and ralery ku sue people kama unavyo adress, stop stupidit
 
Mtoa mada R.B. nakuunga mkono na hapo ndipo walipokuwa wanapataka hao Madaktari kwa kuwashawishi wenzao. kwa ninavyowafahamu walianza fujo hizo zamani sana walpokuwa pale Muhimbili, Naunga mkono kabisa Serikali iwatimue na wasipewe leseni ili wajue faidaqya kuwa nyuma ya Chama cha siasa, wawaulize wenzao UDOM na vyuo vingine vilivyokuwa nyuma ya siasa au kufuata mkumbo wa Vyama vya upinzani. Mwisho wao umefika,
 
Back
Top Bottom