Mwalimu aliyekatwa mapanga afariki dunia akiwa njiani kuelekea Arusha

Skype

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
7,266
1,631
Ni yule mwalimu wa shule ya msingi digodigo wilaya ya Ngorongoro.

Hakika sisi sote ni wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea.

Na yule muuaji hajakamatwa mpaka sasa.
 
What is News Source? Chanzo cha habari yako ni nini?

Chanzo cha habari ni mkewe tuliyekwenda nae hospitali ya Wasso juzi mchana ambapo jana majira ya asubuhi nilimpigia simu kujua kama wamefika wapi (maana ilibidi marehem apelekwe Arusha mjini baada ya matibabu kushindikana Wasso). Ni huzuni kubwa ilitanda baada ya kupokea maelezo kua mumewe hayupo tena duniani.

Kwa kifupi ni kwamba marehem alikua mwalimu wa shule ya msingi digodigo jirani na samunge. Inasemekana alikua na marumbano na jamaa mmoja wa kimasai jamii ya wasonjo ambapo msonjo huyo aliamua kumkata mapanga mwalimu mabegani, mgongoni, miguuni hatimaye kumfyeka mkono mmoja na kubaki na mmoja. Ndipo kwa bahati nzuri mwendesha pikipiki alikua akipita maeneo yale ya ugomvi na kumchukua mwalimu kisha kumuwahisha kituo cha afya digodigo ambapo kesho yake alipelekwa hospitali ya Wasso na ndipo juzi j2 ikaamuliwa apelekwe Arusha mjini ndipo mauti yakamkuta wakiwa njiani.

Inasikitisha sana.
 
chanzo nn?

Chanzo cha habari ni mkewe tuliyekwenda nae hospitali ya Wasso juzi j2.

Chanzo cha mwalimu kukatwa mapanga inasemekana ni marumbano kati yake na mmasai jamii ya wasonjo.

Kwa habari zaidi waweza wasiliana na watu walioko kijiji cha digodigo jirani na samunge kwa babu wa kikombe.

Sijui kama nimekujibu ulichokiuliza ama nimekuelewa isivyo?
 
Jaribu kufuatilia kuona cwt walifanya nini wakat wa kadhia yote R.I.P mwalimu
 
Jaribu kufuatilia kuona cwt walifanya nini wakat wa kadhia yote R.I.P mwalimu

Mpaka muda huu sijapata taarifa kiundani kuhusu cwt, uongozi wa serikali ya kijiji wala halmashauri ila kama kuna mtu maeneo ya kule Ngorongoro tafadhali tunaomba updates zaidi kuhusu hatua zilizochukuliwa mpaka sasa na vyombo husika.
 
Kuna hii post ilianzishwa juzi hapa hapa JF

Inasikitisha, Inahuzunisha, Inatisha na kuvunja moyo wa watumishi wa h/m ya wilaya ya Ngorongoro wanaofanya kazi maeneo ya kabila la wasonjo(kule kwa babu wa kikombe)
Tukio hilo la kunyofoa mkono wa mwl wa shule ya msingi rera,Digodigo kijiji jiran na samunge kilitokea jana mchana baada ya kutupiana maneno ya kejeli kati ya mwl huyo na wasonjo hao. Ikumbukwe hili si tukio la 1 kutokea hapa sonjo alishawai kukatwa mapanga na kupigwa nusu ya kufa Afisa tarafa ya sale hk serikali ya (w) ikiyafumbia macho matukio hayo bila ya kuchukua hatua zozote wala kutamka lolote. Tumechoshwa na matukio haya tunaomba serikali kuu ichukue hatua sasa maana DC na kurugenz yake wameshindwa.


https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-mkono-na-wananchi-hv-sasa-yupo-mahututi.html
 
Nionavyo mimi hapa nchini kuna maeneo ambayo serikali haina mamlaka juu yake na inawezekana raia wa maeneo hayo wako juu ya sheria kinyume na katiba ya JMT.

Iweje mtu afanye uhalifu/mauaji bila hata kushughulikiwa na vyombo vya usalama? Kwa nini huyu kijana (mpumbavu) aliyemshambulia mwalimu kwa mapanga hadi kupelekea kifo chake hajakamatwa mpaka leo?

Kwa nini serikali isiwazuie hawa wamasai/wasonjo kutembea na mapanga, marungu, fimbo, n.k?

Kuanzia sasa nimewachukia sana hawa watu wa jamii ya kimasai maana wamekua makatili hakuna mfano hasa nikikumbuka jinsi mwalimu alivyokua akivuja damu baada ya kucharangwa mapanga.

Ee Mwenyezi Mungu tuokoe na hawa watu.
 
Du RIP Mwalimu kuna watu hapa tz bado wako nyuma hasa huko umasaini mm nilishapoteza ndugu yangu Mwalimu huko minjingu kwa kisa cha haohao Wamasai, nivigumu hata kuwapa utawal wana hasira ndani ya dk 3
 
Iweje mtu afanye uhalifu/mauaji bila hata kushughulikiwa na vyombo vya usalama? Kwa nini huyu kijana (mpumbavu) aliyemshambulia mwalimu kwa mapanga hadi kupelekea kifo chake hajakamatwa mpaka leo?

.

Hawa watu wanaoishi karibu na mipaka ya nchi jirani, akifanya kosa tu anakimbilia nchi jirani !!!! Akifika huko anabadili jina na kuendelea na maisha kama kawaida.
 
Du RIP Mwalimu kuna watu hapa tz bado wako nyuma hasa huko umasaini mm nilishapoteza ndugu yangu Mwalimu huko minjingu kwa kisa cha haohao Wamasai, nivigumu hata kuwapa utawal wana hasira ndani ya dk 3

Bado najiuliza hivi kwa nini vyombo vya usalama vinaruhusu hawa watu kutembea na silaha hadharani? Halafu hawapendi kabisa kuzingatia usafi yaani kero mtindo m1.
 
Hawa watu wanaoishi karibu na mipaka ya nchi jirani, akifanya kosa tu anakimbilia nchi jirani !!!! Akifika huko anabadili jina na kuendelea na maisha kama kawaida.

Mkuu nakubaliana nawe kwa 100% maana siyo Ngorongoro tu kwa wamasai/wasonjo hata maeneo ya Shirati kule Tarime kwa wakurya/wajaluo mambo kama haya yapo. Lakini vyombo vya usalama viko wapi kupambana na mambo haya?
 
Back
Top Bottom