Law School | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Law School

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by MFYU, Jul 10, 2012.

 1. MFYU

  MFYU JF-Expert Member

  #1
  Jul 10, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  jamani,memaliza LL.B apo UDSM 2012..nataka nijue ka ntakua eligble kujiunga na Law School mwaka huu,yaani after 12th &13 cohort -july intake...! Cuz naskia hawa majamaa hawataki PROVISIONAL RESULTS,so i need to wait mpaka mwakani! Dah,nataka niunge fasta...!
   
 2. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #2
  Jul 10, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Why unasikia? Hawana website? Ngoja your learned fellows waje wakunasihi. Hongera kwa kumaliza chuo.
   
 3. MFYU

  MFYU JF-Expert Member

  #3
  Jul 10, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  wanayo,ila so far bado...hakuna chochote ju ya 14th Cohort....em jus tryn to gt an advice,kama kunaingilika ukiwa na Provsnal results-manake ad uje pata transcpt ya Mkandala ni ishu!
  Thanx a lot
   
 4. stroke

  stroke JF-Expert Member

  #4
  Jul 10, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 13,394
  Likes Received: 6,578
  Trophy Points: 280
  Ilipokua inaanza walikua wanafanya hivyo ila kwa sasa, wanafunzi walioko tayari tayari wapo wengi..sidhani kama wanaruhusu Provisional results...wakati kuna uwezekano wa kupata academic transcript?? Mara nyingi majibu yao yanakua vyuo vijitahidi kutoa transcript kwa wakati...Lakini kama upo dar jaribu kupitia ofisi zao pale Ubungo plaza ongea na msajili..Intake ya July yenyewe imehang mpaka sasa haijulikani ni lini....
   
 5. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #5
  Jul 10, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Mbona mapema? Hata Dissertation yako hatujaanza kuisahihisha achilia mbali mitihani yako ya Semista ya pili.Una uhakika utafaulu? Anyway,waweza kujiunga mwaka huu huu.Kohoti ya 12 na 13 zitajiunga mwezi wa 8. Ya 14 na kuendelea zaweza kujiunga kati ya Desemba mwaka huu au Januari mwakani.Au kutokana na Majengo mapya ya Law School kuanza kutumika,yawezekana wakachukuliwa wengi kwa pamoja.Endelea kufuatilia na unifuatilie pia.Prof. Hamudi Ismail Majamba ameniomba nikusalimie...
   
 6. C

  CAY JF-Expert Member

  #6
  Jul 10, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 501
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ofisi zao huzifahamu?Watafute upate maelezo sahihi kutoka kwao!Mboana unakuwa kama hujasoma hiyo course banaa?
   
 7. MFYU

  MFYU JF-Expert Member

  #7
  Jul 10, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  teh!teh..yaani nkiwaza io kitu ya GPA,nahc kudata,.shule ya pale stakaa niisahau....khaaah!!
   
 8. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #8
  Jul 10, 2012
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,732
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Subiri next year,hakuna intake nyingine kwa mwaka huu zaidi ya hiyo ya 13 na 14
   
Loading...