Mahakama za Tanzania hazilindi demokrasia wala haki vizuri sasa ni wakati wa kujiuliza zina faida gani hasa. Imekuwa kama vile mahakama zetu ni wasomi wasiojielewa kazi yao ni nini hasa zaidi ya kuelekezwa na serikali.
Kesi zinachukuwa miaka , kura zinaibiwa nje nje mahakama wamekaa tu eti wanasubiri kesi. Hata matamshi ya kuchukizwa hawana. Inefika wakati kesi zinaenda kwa muuaji makonda!
Sasa tufanyeje kuondokana na hili janga