Mimi Mkisto nikila hadharani Zanzibar nitashitakiwa kwa sheria gani?

Synthesizer

JF-Expert Member
Feb 15, 2010
11,143
18,774
Hapa juzi nilisikia viongozi wa serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakisema wale wote wanaokiuka mfungo wa Ramadhani watachukuliwa hatua. Lazima nikiri huwa inanikera sana ninapokuwa Zanzibar kikazi wakati wa mfungo wa Ramdahani kujikuta nalazimishwa bila kupenda kufunga kama vile na mie ni muislamu.

Hivi nikiwa Zanzibar na kuanzisha hoteli ambayo nitatoa huduma ya chakula cha mchana hata wakati wa mfungo wa Ramadhani, au kula ndizi yangi hadharani wakati wa mfungo wa Ramadhani, nitashitakiwa kwa sheria ipi?

Au suala ni kuogopa jazba ya Wana Harakati? Polisi watanilinda kwa mimi kula wakati wa mfungo wa Ramadhani?

Nchi yetu Tanzania haina dini, Zanzibar au Tanzania bara, sivyo?
 
Wewe kula hovyo tu hadharani.utapokamatwa na kuandikiwa charge sheet ndo utagundua vipengele ! we hujui Zanzibar ni nchi ndani ya muungano ?
 
Kumbe kinachofanyika huko kisiwani ni kuficha chakula na sio utii wa mtu binafsi kwenye dini yake na Mungu wake. Inawezekana kikipikwa chakula wanafungulia kisiwa chote.
 
There is something called "Makruh" in Islamic. Its basically doing something which is not forbidden but in a way that it disturbs other people. You are a Christian so you have a right to eat but you should look at Zanzibar from an angle that its guided by Islamic principles. Not everyone smokes so you have no reason to smoke in public. Its simple. Buy your food or drinks and sit somewhere private and eat. You can eat in your house, your hotel room, inside your car etc. Problem is you want to buy a big bugger and a coke, stand at michenzani facing those flats and show everyone that you are eating yet majority of the people are fasting. That's Makruh
 
Aaaawapi, huo ni unyanyasaji tu. Niliwaambia hako kamchezo ka kuruhusu Kadhi ni kuitengeneza Nigeria ya mashariki ya Afrika, ambapo tunakokwenda tujiandae kuchinjana kwa jina la sharia law. Hatupaswi kuwapuuza minority kwa interest za majority juu ya imani. Mtu hapaswi kuwa na hofu kuhusu ufuasi kwa Mungu bali ndani ya mtu huyo kuwe na mawasiliano na Mungu wake.
 
Mkuu embu jaribu tujue sheria gani itatumika kukungoa kucha
 
Will my eating before them result in death or what? And this Makruh thing is it in the constitution?
 
There is something called “Makruh” in Islamic. Its basically doing something which is not forbidden but in a way that it disturbs other people. You are a Christian so you have a right to eat but you should look at Zanzibar from an angle that its guided by Islamic principles. Not everyone smokes so you have no reason to smoke in public. Its simple. Buy your food or drinks and sit somewhere private and eat. You can eat in your house, your hotel room, inside your car etc. Problem is you want to buy a big bugger and a coke, stand at michenzani facing those flats and show everyone that you are eating yet majority of the people are fasting. That’s Makruh

many likes kaka.
sjui kwa nn watu hawataki kutumia akili kwa mambo ambayo hata hayahitaji publicity na malumbano.
 
many likes kaka.
sjui kwa nn watu hawataki kutumia akili kwa mambo ambayo hata hayahitaji publicity na malumbano.

Kwani katika hali ya kawaida wati wanakula wapi na kwa namna gani? Kwamba nikienda restaurant nikila nitakuwa nimemkosea nani?
 
There is something called "Makruh" in Islamic. Its basically doing something which is not forbidden but in a way that it disturbs other people. You are a Christian so you have a right to eat but you should look at Zanzibar from an angle that its guided by Islamic principles. Not everyone smokes so you have no reason to smoke in public. Its simple. Buy your food or drinks and sit somewhere private and eat. You can eat in your house, your hotel room, inside your car etc. Problem is you want to buy a big bugger and a coke, stand at michenzani facing those flats and show everyone that you are eating yet majority of the people are fasting. That's Makruh

Why should you be disturbed ?

While TZ is a country of all religions.

Dont you see that you are forcing people to believe in what you believe?
 
Katika mambo ambayo huwa nawapa credit hawa jamaa, ni kusimamia kanuni, sheria na taratibu wanazojiwekea
 
Tanzania ni nchi iliyo kua ikiendeshwa katika hali ya amani enzi hizo sasa hawa magaidi wakizenji waliokua afghanstan somalia na Iraq wamebanwa huko wanaleta itikadi zenj its okey huko kwao wakija bongo tuna deal nao mmoja mmoja nasikia HIZO IMANI HAZIKUWEPO ENZI ZA MWALIMU? NAKWANINI LEO UAMSHO ...
 
Ni vema kutumia akili na busara za ziada. Kula ni haki yako ya asili naya kisheria. Hakuna sheria inayokupangia muda gani wa kula. Ila ni vema kutojionyesha unakula hadharani kama wengine walivyochangia kwa ajili ya usalama wako, na kutowakwaza wasiokula kwa wakati huu wa mchana. Si unajua kuna watu wamekurupuka na haya mdini (itikadi za kigeni) na kuzitumia kidikiteta, bila kujali hiari ya kila mmoja kutoka moyoni kwake. Kwangu mimi nadhani kuwa Mungu anatumikiwa kwa uhuru na hiari. Ila kama kuna kamungu kengine kanakotumia mabavu na wendawazimu wa kulazimisha watu! Kazi kwelikweli, hivyo tumia busara. We angalia tu mataifa yanayotumia hiyo itikadi yalivyo na matatizo kila kukicha. Ni vema kuangalia sana tunapochagua tamaduni au mambo fulani ya kigeni. Mengine ni mkenge tu na tutabaki kuwa masikini wa akili, roho na mali.
 
Aaaawapi, huo ni unyanyasaji tu. Niliwaambia hako kamchezo ka kuruhusu Kadhi ni kuitengeneza Nigeria ya mashariki ya Afrika, ambapo tunakokwenda tujiandae kuchinjana kwa jina la sharia law. Hatupaswi kuwapuuza minority kwa interest za majority juu ya imani. Mtu hapaswi kuwa na hofu kuhusu ufuasi kwa Mungu bali ndani ya mtu huyo kuwe na mawasiliano na Mungu wake.

wewe hutaki kuelewa, haijatungwa sheria kumkandamiza asiyekuwa mkristo kwa kuwa waislamu wamefunga basi asiyekuwa muislamu asile hadharan na sio kwamba ananyanyaaswa, hata italy wengi ni roman catholics so hata utamadun wao wa maisha asilimia kubwa umegubikwa na utamadun wa kikatolic.
 
Nimesikia na huku tanganyika wameanza na bakora kwa akina dada kwa maagizo ya mungu. Wanaacha kuutumia muda wa funga kufanya toba wanakesha wakizunguka mitaani kutafuta wadada wa kuwatandika bakora ili wapate thawabu. What kind of religion is this!
 
Back
Top Bottom