Usimamizi wa mirathi

Kazanazo

JF-Expert Member
Aug 16, 2023
687
1,360
Habari wanajamii, natumai mko njema.

Naomba kujuzwa hatua za kufuata ili kufungua file la usimamizi wa mirathi. Kwa maana vitu gani vinahitajika ili kuweza kuwa msimamizi na wapi anatakiwa kwenda alieteuliwa kuwa msimamizi ili kutambulika kisheria.

Natanguliza shukrani
 
Habari wanajamii, natumai mko njema

Naomba kujuzwa hatua za kufuata ili kufungua file la usimamizi wa mirathi. Kwa maana vitu gani vinahitajika ili kuweza kuwa msimamizi na wapi anatakiwa kwenda alieteuliwa kuwa msimamizi ili kutambulika kisheria.

Natanguliza shukrani
Mkuu una laki nane nikuguide process zote mpaka kuandaa nyaraka.
N.b sio kwenda mahakanani.
 
Habari wanajamii, natumai mko njema.

Naomba kujuzwa hatua za kufuata ili kufungua file la usimamizi wa mirathi. Kwa maana vitu gani vinahitajika ili kuweza kuwa msimamizi na wapi anatakiwa kwenda alieteuliwa kuwa msimamizi ili kutambulika kisheria.

Natanguliza shukrani
 
Habari wanajamii, natumai mko njema.

Naomba kujuzwa hatua za kufuata ili kufungua file la usimamizi wa mirathi. Kwa maana vitu gani vinahitajika ili kuweza kuwa msimamizi na wapi anatakiwa kwenda alieteuliwa kuwa msimamizi ili kutambulika kisheria.

Natanguliza shukrani
Mkuu perusal jukwaa la sheria hizo taratibu zote pamoja na kazi za msimamizi wa Mirathi zimefafanuliwa vizuri tu na baadhi ya Mawakili wenye mioyo safi kwa binaadamu wenzao!!
 
Vikiwepo hivyo naanzia wapi
Unaenda mahakamani na ivyo viambata Kisha utapewa fomu mbili moja ya kuomba kuteuliwa kuwa msimamizi wa mirathi na nyingine ya wadhamini utazijaza, iyo ya kuomba kuteuliwa kuwa msimamizi utairudisha ikiwa imeambatanishwa na passport size za wanufaika, nikiimaanisha watoto wa marehemu, mume/mke. Kisha taratibu nyingine utapewa uko uko
 
Habari wanajamii, natumai mko njema.

Naomba kujuzwa hatua za kufuata ili kufungua file la usimamizi wa mirathi. Kwa maana vitu gani vinahitajika ili kuweza kuwa msimamizi na wapi anatakiwa kwenda alieteuliwa kuwa msimamizi ili kutambulika kisheria.

Natanguliza shukrani
Nenda mahakama ya mwanzo ilokaribu watakuelekeza
 
Kwanza kabisa mkae kikao cha wanandugu kinachobainisha
Mkuu mimi ni wakili. Nilinaanisha dau langu la laki nane halihusishi mimi kusimamia process za mahakamani.
Sio mbaya kama yuko bize au anahisi ni kazi ngumu basi hana budi kutoa hiyo 800 ila mimi mirathi zangu nimezipambania mwenyewe
 
Mkuu perusal jukwaa la sheria hizo taratibu zote pamoja na kazi za msimamizi wa Mirathi zimefafanuliwa vizuri tu na baadhi ya Mawakili wenye mioyo safi kwa binaadamu wenzao!!
Mkuu unaweza kushare link
 
Unaenda mahakamani na ivyo viambata Kisha utapewa fomu mbili moja ya kuomba kuteuliwa kuwa msimamizi wa mirathi na nyingine ya wadhamini utazijaza, iyo ya kuomba kuteuliwa kuwa msimamizi utairudisha ikiwa imeambatanishwa na passport size za wanufaika, nikiimaanisha watoto wa marehemu, mume/mke. Kisha taratibu nyingine utapewa uko uko
Ahsante sana mkuu
 
Back
Top Bottom