Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Hoja ya kubadilisha sheria ya ndoa, hasa kwenye vipengele vya ugawanyaji wa mali baada ya talaka, ni mjadala unaoweza kuibua hisia tofauti na mitazamo mingi. Katika jamii yetu, ndoa ni taasisi...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Nauliza ni kesi zipi unaweza kufunguwa mahakamani direct bila kupitia Polisi kulikojaa rushwa na mtuhumiwa kuwa ndio mwenye haki?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ikiwa nauza shamba langu na mnunuzi amelipa nusu ya kiasi cha pesa na kukubaliana amalizie nusu iliyobaki baada ya muda flani! Ikiwa nimegairi kuuza na kutaka kurudisha pesa ya mnunuzi ila naye...
1 Reactions
12 Replies
766 Views
nna mdogo wangu alikua shule moja mkoa wa Dodoma, akakamatwa na simu shuleni na mkuu wa shule akiwa form 6 siku chache kabla ya mtihani.mkuu akakaa na simu hiyo na mdogo wangu alipomaliza shule...
5 Reactions
42 Replies
2K Views
“Urgent Measures Needed in the 2024/2025 Budget” Introduction Our country (Tanzania) is currently facing a severe economic challenge due to a sharp rise in container charges for imported...
0 Reactions
1 Replies
674 Views
Habari wakuu, naomba kujua Sheria inasemaje kuhusu adhabu kama utashitakiwa na kampuni kwamba umeisababishia hasara na kampuni kweli ikawa na ushahidi na ukapatikana na hatia kisheria...
2 Reactions
10 Replies
701 Views
Wadau kunamtu aliajiliwa na kupewa fixed one year contract. Mkataba WA kwanza ulipoisha akaopewa mwingine wa mwaka mmoja ukiwa na amajukumu ya ziada.Baada ya kupewa mkataba wa pili ,baada ya...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Wadau Wanasheria naomba msaada wenu juu ya hatua za kuichukulia Halmashauri iliyokataa kutekeleza HUKUMU ya MAHAKAMA KUU ya Mgogoro wa kiwanja. Baada ya Kushinda Kesi nilimwandikia Mkurugenzi wa...
2 Reactions
12 Replies
902 Views
Jamani kuna taratibu gani za kufuata kisheria iwapo umebakiwa mtoto asiye wako ukahudumia kuanzia mimba mpaka mtoto kuzaliwa ukaendelea kuhudumia halafu baadae ukaambiwa mtoto siyo wako. Je, kuna...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Jamani mwenye soft copy ya Chipeta ya Civil Procedure. Naomba
0 Reactions
4 Replies
543 Views
Je unaweza kuomba temporary injunction/ stop order (zuio) wakati kesi iko kwenye hatua ya rufaa? Kwa mujibu wa Sheria ya Mwenendo wa Kesi za Madai (Civil Procedure Code/ CPC) unaweza kuomba zuio...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau wa Masuala ya Mirathi naomba ufafanuzi juu ya hili. Je, Sheria inasemaje juu ya Mtoto aliyepatikana NJE ya NDOA je ana HAKI ya Kurithi MALI zilichochumwa na WANANDOA hao?
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Mtu akikufanyia fujo na kukujeruhi kwa kutumia silaha (Chupa za soda zilizovunjwa) unatakiwa kufanya nini baada ya ya kumfikisha kituo cha polisi? Je, hii ni aina gani ya case?
0 Reactions
2 Replies
489 Views
Habari, leo nakuletea makala fupi kuhusu dhamana kwa mujibu wa Sheria za Tanzania. Kwa kusoma makala hii utajifunza mambo yafuatayo: (i) Utajua maana ya dhamana (ii) Msingi wa dhamana kisheria...
4 Reactions
10 Replies
12K Views
Salaam wakuu! Wanajamvi nilifungua shauri la madai katika mahakama ya mwanzo dhidi ya bwana mmoja jirani yangu ambaye alionekana kuwa mgumu kunilipa pesa yangu niliyomkopesha mwaka juzi 2022! Huyu...
7 Reactions
31 Replies
2K Views
Jambo la kwanza kabla ya kuamua kushtaki au kufungua kesi Mahakamani hakikisha una miguu ya kusimamia Mahakamani, kisheria tunaita LOCUS STANDI. Locus standi ni neno la kisheria lenye asili ya...
0 Reactions
0 Replies
703 Views
Kama kichwa kinavyoelezea hapo juu, kuna kampuni moja binafsi imenitapeli kiasi cha pesa. Sasa naomba kujua nawezaje kufungua kesi na kuishtaki ili niweze kupata haki yangu. Pesa yenyewe...
0 Reactions
5 Replies
689 Views
Wataalamu wa sheria jamaa yangu amedharilishwa Kwa kutukanwa na kuambiwa kuwa ameua mtu Ambae alikufa mwaka Jana Kwa ajali ya kugongwa na gari. Je, anatakiwa afanye nini ili ashtaki ili...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Kuna binti alikuwa na ujauzito wangu. Alitarajiwa kujifungua December hii (makadirio yalikuwa tar. 7). Nimeona muda unazidi kwenda kimya nikauliza akaniambia mimba ilitoka mwezi wa 9. Sina...
9 Reactions
115 Replies
5K Views
Habari wana JF, ni matumaini yangu wote mko sawa, nadhani hii ni mara ya kwanza kupost hapa ubaoni ninaombeni msaada maana nimeshindwa hata kulala yaani. Labda nielezee hivi, sisi ni wakristo...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Back
Top Bottom