WANASHERIA TUELIMISHE JUU YA KIFUNGU HIKI

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
24,963
2,000
Wanasheria kifungu hiki ni kwa kiasi gani kimeleteleza kufukuzwa kwa Mwele? Kumekuwa na hoja kuwa alikiuka kifungu hiki. Sioni uhusiano wa yeye kuwajibika.

17. Where there is occurrence of a disease not listed in the First Schedule to this Act, the Minister shall, by a notice in the Gazette and in any local widely circulating newspaper, declare such occurrence as a disease under that Schedule.
 

ALPHRED MAHUNJA

JF-Expert Member
Aug 30, 2013
309
225
Hajafukuzwa kazi uteuzi wake umenteguliwa katika nafasi ile hivyo ndivyo inavyosomeka barua ya kurugenzi ikulu hayo mengine kama unao ushaidi weka tupitie
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom