MFANYAKAZI NI NANI?

soskeneth

soskeneth

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2016
Messages
575
Likes
220
Points
60
Age
26
soskeneth

soskeneth

JF-Expert Member
Joined Jul 2, 2016
575 220 60
Sheria ya Ajira na Uhusiano kazininNA6/2004 na sheria ya Taasisi za kazi Na7 ya mwakan2007 zinamtafsiri mfanyakazi kuwa

Ni mtu yeyote aliyeingia katika mkataba wa ajira wa aina yoyote kumfanyia kazi mtu mwingine kwa ujira. Mtu huyo atakaye fanyiwa kazi asiwe mteja wa taaluma yoyote,biashara au kazi inayofanywa na mtu huyo.

Mfanyakazi pia ni mtu yeyote alitajwa kuwa mfanyakazi na waziri chini ya kifungu 98 (3) cha sheria tajwa.

Sheria zinamfafanua zaidi mfanyakazi kuwa ni mtu anayefanya kazi au anatoa huduma kwa mtu mwingine bila kuangalia aina gani ya mkataba iwapo vigezo vifuatavyo vifakuwepo:-

1. Mfanyakazi anakuwa chini ya uangalizi wa mtu mwingine

2. Muda wake unaangaliwa na mtu mwingine

3. Mtu husika ni sehemu ya shirika/Taasisi

4. Kufanya kazi kwa uwiano wa wa masaa 45 kwa mwezi kwa muda wa miezi mitatu

5. Mtu husika anamtegemea kiuchumi anaye mfanyia kazi.

6.mtu huyo anafanya kazi au kutoa huduma kwa mtu mmoja tu.

7. Mtu husika atapewa vifaa vya kazi na mtu anayemfanyia kazi.
 
Amaya bajarat

Amaya bajarat

Member
Joined
Oct 23, 2016
Messages
11
Likes
3
Points
5
Age
50
Amaya bajarat

Amaya bajarat

Member
Joined Oct 23, 2016
11 3 5

Mkuu ,Na he mfanyakazi anapopigwa na mwajiri wake na kuvuliwa nguo mbele za watu,hii inakaaje?Na je,iwapo alifungua kesi polisi lakini kwa hofu akaamua kuifuta hiyo kesi.Sass anaporudi kazini anatengenezewa mazingira ya mitego na kutiwa hafu.Hapo sheria inamsaidiaje MTU kama hiyo ambaye kwanza anafanya kazi kwenye mazingira magumu.Pili halo hiyo inamuathiri kisaikolojia ukizingatia ushirikiano wa kutosha haupo na pia anaishi kwa hofu?Naomba msaada mkuu.
 
soskeneth

soskeneth

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2016
Messages
575
Likes
220
Points
60
Age
26
soskeneth

soskeneth

JF-Expert Member
Joined Jul 2, 2016
575 220 60
Mwajiri kumpiga mfanyakaz hyo ni unyanyasaj ni discrimination,, sheria inakataza kwa mwajiri yeyote kumnyanyasa au kumfanyia mfanyakaz unyanyasaj wa aina yoyote ile.

Mwajiri kumpiga mwajiriwa hyo criminal case yaan ni kesii ya Jinai kinyume na kifungu cha 241 cha sheria ya makosa ya Jinai.

Mwajiri kumtengenezea mwajiriwa mazingira magumu hii Imekaaje kisheria

Kwanz katika masuala ya kaz kuna Aina mbalimbali zitakazo kupelekea mwajiriwa ajira yake kufikia mwisho Moja wapo ni hii ya mwajiri kumtengenezea mwajiriwa mazingira magumu akiwa kazin

Ikitokea hali kama hii inabd mwajiriwa aandike notice kwa mwajiri wake kwa kuacha kaz kwa sababu ya unyanyasaj na kutengenezewa mazingira magumu kazn

Akishafany hvi sheria itatambua kwamb mwajiriwa HUYO ameachishwa kaz na mwajiri wake na atakuwa na Haki YA kudai madai yote ya kuachishwa kazi,,
 
soskeneth

soskeneth

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2016
Messages
575
Likes
220
Points
60
Age
26
soskeneth

soskeneth

JF-Expert Member
Joined Jul 2, 2016
575 220 60
Mkuu ,Na he mfanyakazi anapopigwa na mwajiri wake na kuvuliwa nguo mbele za watu,hii inakaaje?Na je,iwapo alifungua kesi polisi lakini kwa hofu akaamua kuifuta hiyo kesi.Sass anaporudi kazini anatengenezewa mazingira ya mitego na kutiwa hafu.Hapo sheria inamsaidiaje MTU kama hiyo ambaye kwanza anafanya kazi kwenye mazingira magumu.Pili halo hiyo inamuathiri kisaikolojia ukizingatia ushirikiano wa kutosha haupo na pia anaishi kwa hofu?Naomba msaada mkuu.
Mwajiri kumpiga mfanyakaz hyo ni unyanyasaj ni discrimination,, sheria inakataza kwa mwajiri yeyote kumnyanyasa au kumfanyia mfanyakaz unyanyasaj wa aina yoyote ile.

Mwajiri kumpiga mwajiriwa hyo criminal case yaan ni kesii ya Jinai kinyume na kifungu cha 241 cha sheria ya makosa ya Jinai.

Mwajiri kumtengenezea mwajiriwa mazingira magumu hii Imekaaje kisheria

Kwanz katika masuala ya kaz kuna Aina mbalimbali zitakazo kupelekea mwajiriwa ajira yake kufikia mwisho Moja wapo ni hii ya mwajiri kumtengenezea mwajiriwa mazingira magumu akiwa kazin Ikitokea hali kama hii inabd mwajiriwa aandike notice kwa mwajiri wake kwa kuacha kaz kwa sababu ya unyanyasaj na kutengenezewa mazingira magumu kazn

Akishafany hvi sheria itatambua kwamb mwajiriwa HUYO ameachishwa kaz na mwajiri wake na atakuwa na Haki YA kudai madai yote ya kuachishwa kazi,,
 
Amaya bajarat

Amaya bajarat

Member
Joined
Oct 23, 2016
Messages
11
Likes
3
Points
5
Age
50
Amaya bajarat

Amaya bajarat

Member
Joined Oct 23, 2016
11 3 5
Asanta Mkuu nimekuelewa na ninashukuru kwa msaada wako.Endelea kuwaelimisha Watanzania wenzangu wanaohitaji misaada ya kisheria.Asante
 
Forum statistics

Threads 1,273,253
Members 490,339
Posts 30,475,425