article
Senior Member
- Sep 10, 2016
- 174
- 326
Utafiti ni jia ya kupata ufahamu mpya kuhusiana na jambo au kitu fulani katika muda fulani ndani au nje ya dunia.
Mtafiti baada ya kufanya utafiti wake kiutaratibu uwatangazia wahusika na wasiohusika matokeo ya utafiti wake kwa ajili ya utelezezaji,kuchukua hatua au kuwa na taarifa.
Tafsiri ya Matokeo ya Utafiti inaweza kuwa na matokea hasi au Chanya kwa mpokeaji kulingana na Uzito wa matokeo ya utafiti .
Ningependa kufahamishwa taratibu za kisheria nchini ambazo Mtafiti inabidi azifuate kabla ya kutangaza matokeo ya utafiti wake ili awe salama kisheria kama utangazaji wa matokeo ya utafiti wake yanaweza kuleta mtafaruko kwenye Jamii.
Ahsante sana,
Article.