Msaada jamani nifanye nini endapo hakimu anaonyesha kama anakukandamiza mbele ya mshitaki wako?

Waweza kuomba kesi yako kuhamishwa kwa hakimu mwingine kama huna imani na huyo anayeendesha kesi.
 
Waweza kuomba kesi yako kuhamishwa kwa hakimu mwingine kama huna imani na huyo anayeendesha kesi.
yes you may however the reason must be sufficient.
unaweza kuandika barua kwa magisrate incharge then ata kuasign kwa magistrate mwingine.
The problem ni kwamba utachelewesha shauri lako kufikia finality basing on my experience shauri laweza kuanza upya
 
Msaada jamani namna ya uandishi wa barua hiyo kwani shauri hilo ni la tarehe 5.1.2016

Kabla ya kuandika barua unaweza sema tu kwa mdomo mahakamani siku ya kesi inapotajwa..kwamba ninaomba hakimu fulani usiendelee kusikiliza shauri langu kwa sababu hizi na hizi zinazopelekea mimi (wewe) kutokuwa na imani na wewe..barua ni ya kawaida tu ya kikazi, ni ya kawaida tu na siyo ya kisheria kwamba ihitaji utaalamu japokuwa unaweza kumwona mwanasheria akusaidie kuiweka vizuri zaidi..ila ni barua ya kawaida tu
 
Back
Top Bottom