Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Kwa aliye Na taarifa Juu ya kesi ya kupiga Umeya wa Manispaa ya Kinondoni ambao CCM waliufanya kama Uchaguzi wa Kumchagua Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kinondoni .Je kesi hiyo itaanza lini?
0 Reactions
0 Replies
822 Views
karibuni wanabodi mnipe msaada wa kisheria. Naomba niende kwenye mada moja kwa moja.Ikiwa kwa uwezo wa kawaida kabisa nimebaini kuwa mahakama kwa kuelewa au kutoelewa haitendi haki kwa mtuhumiwa...
5 Reactions
23 Replies
3K Views
Naomba msaada wana jamiiforum kuhusu sehemu ya mada iitwayo criminal liability vire vineno vya actus reus and mens rea
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Ndugu zangu, tumekuwa tukishuhudia baadhi ya askari police wakiwakamata kwa kuwastukiza watu bila kuwapa taarifa zaidi juu ya kitu walichomkamatia. Tena wana msemo ya kwamba ukitaka maelezo zaidi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Babari za humu wapendwa me naomba kujliza jkt inaanza mwezi wangapi kutoa nafasi kwa vijana wakujitolea?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hii kesi inatuonyesha nguvu ya vyombo vya habari na NGUVU YA UMMA. Please read this case for those activists and law abiding citizens of this nation. Follow this link: Wikipedia, the free...
0 Reactions
0 Replies
892 Views
Kuna mwl alituhumiwa kuwa amemwambia mwanakijiji kwamba " mkuu wa shule amenituma nikwambie kuwa umempa mimba mwanafunzi X" kabla ya kujibu tuhuma hiyo kwa muda alopewa, alisimamishwa kazi na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wajuzi, naomba kujua kama huyu Mheshimiwa Jaji Richard E. Mziray bado yuko kwenye utumishi wa umma mahakamani? Kama hayupo yuko wapi?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
I am very glad to announce to those persuing LL.B that apart from providing PhD of Laws, Masters of Laws, Bachelor of Laws, Diploma and Certificate of Laws, now St. Augustine University of...
2 Reactions
58 Replies
11K Views
Nilikuwa najaribu kuangalia mambo yanayoitwa ya Muungano na yale yasiyo ya Muungano. Kwa tafsiri ya Sheria ya Ardhi Na. 4 na 5 za mwaka 1999, upo uwezekano kwa wazawa (Raia) wote wa Tanzania bila...
4 Reactions
9 Replies
5K Views
ndugu zangu hamjambo? naomba msaada wa kisheria endapo nilishitakiwa na mtu, nikashindwa kesi, kwa maana ya sheria kupindishwa maana nilitakiwa pamoja na kushindwa nishinde na sio kushindwa, Akimu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani wanasheria, nambie ukweli wa jambo hii. Hivi zawaidi inayotolewa/wanayopeana wapenzi wakati wa mahusiano yao, je irudishe wakigombana? Kutokurudishwa kwake ni criminal au civili case?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Write short and comprehensive notes on the cited legal maxim herein under; Ubi Societas Ibi Jus
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa mnyenyeku mkubwa naomba kuliiza hili swali. Ninafanya kazi kwa mwajiri binafsi, huwa anatoa leave allowance kwa kila baada ya mwaka mmoja wa likizo.. je kwenye hii leave allowance ni kwa...
1 Reactions
6 Replies
6K Views
Wapendwa naomba msaada wa hili. Nilinunua shamba, mwanaukoo akataka kulikomboa (redeem a clan shamba). Akaambiwa kuwa alipe laki saba. Hakimu hakuweka hizo hela zilipwe ndani ya muda gani. Imepita...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba kuelekezwa utaratibu wa kusajili Kampuni ya Ulinzi.
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Je unaweza kuandika barua ya kutengua kuacha kazi/kujiuzulu kuna rafiki yangu alipata ajira serikalini mwaka huu kwa iyo akaamua kuacha kazi private na kwenda serikalini sasa anasema ajira yake...
1 Reactions
24 Replies
9K Views
wadau mnisaidie, kuna ndugu yangu alikuwa na kesi kazini kwake lakini kabla ya kutatuliwa ktk kikao cha nidhamu mdau alikuwa anajiskia kuugua hata akashindwa kuhudhuria tareha zilizopangwa ktk...
0 Reactions
1 Replies
849 Views
Habari zenu wanajamii. Wanajamvi Mimi nilikuwa naomba ushauri wenu, Mimi niliajiriwa na shirika LA wabelgiji waniajiria bukoba. Katikati ya mkataba wakanihamishia mtwara. Nilifika huku nikafanya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nasema hivi kwa kuwa nimekatwa karibu miezi tisa bila mkataba nao shirika la bima, sasa nataka kufungua kesi mahakamani, kisheria natakiwa nimshitaki branch manager wa mkoani kwangu aliyeprocess...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom