Wana JF, Naomba kujuzwa juu ya pishi liitwalo Stima

Miss Bunyeta

Member
Feb 22, 2015
70
14
Nikiwa mjini Tanga STIMA ni chakula maarufu sana mjini hapo, ni tamu sana na watu wengi hulisifia sana, unapata STIMA ya kuku, mbuzi au ng'ombe.

Sasa mimi natamani sana kujua namna ta kulipika naomba yeyote ajuae anjuze tafadhali.

Sijui kama nimekosea jina au laah!
 
labda lina jina lingine mtu yoyote anaweza kurekebisha@ miss chagga kuendana na uzoefu
 
Ni steamer nadhani. Ni chakula very simple. Unachemsha kuku, ama mbuzi ama ng'ombe. Ikikaribia kuiva, kata vitunguu vingi (cubes zinapendeza zaidi) na weka pamoja na pilipili na ndimu. Acha vichemke hadi maji yapungue kabisa upate rojo flani ya kulia ugali.

Katika upishi huu ujanja ni balancing ya maji, uweke mengi na usiongeze njiani. Ikibidi kuongeza tia maji ya moto. Wingi wa vitunguu ndio utamu kolea. Unaweza kuweka carrots na hoho ila usitie nyanya
 
Hii ndo habari yenyewe sasa
 
ni steamer nadhani. Ni chakula very simple. Unachemsha kuku, ama mbuzi ama ng'ombe. Ikikaribia kuiva, kata vitunguu vingi (cubes zinapendeza zaidi) na weka pamoja na pilipili na ndimu. Acha vichemke hadi maji yapungue kabisa upate rojo flani ya kulia ugali.

Katika upishi huu ujanja ni balancing ya maji, uweke mengi na usiongeze njiani. Ikibidi kuongeza tia maji ya moto. Wingi wa vitunguu ndio utamu kolea. Unaweza kuweka carrots na hoho ila usitie nyanya
King'asti thank u soo sooo much ngoja nijaribu kuipika leo...vp ndimu tunaweka?
 
Last edited by a moderator:
Ni steamer nadhani. Ni chakula very simple. Unachemsha kuku, ama mbuzi ama ng'ombe. Ikikaribia kuiva, kata vitunguu vingi (cubes zinapendeza zaidi) na weka pamoja na pilipili na ndimu. Acha vichemke hadi maji yapungue kabisa upate rojo flani ya kulia ugali.

Katika upishi huu ujanja ni balancing ya maji, uweke mengi na usiongeze njiani. Ikibidi kuongeza tia maji ya moto. Wingi wa vitunguu ndio utamu kolea. Unaweza kuweka carrots na hoho ila usitie nyanya

Kwa hiyo hii ni kama ile huku Dar wanaiita MAKANGE ?
 
Sidhani. Makange sio mchemsho. Kwenye makange nyama, kuku ama samaki inachomwa ama kukaangwa kwanza. Hii unachemsha na unamalizia na rojo ya supu kiduchu. Steamed fish mapishi yanakuwa tafauti kidogo

yeah king'asti makange ni tofauti..but hujaniambia kwenye steamer tunaweka ndimu?
 
Nisome hapa chini bwana. Shida yako husomi, sasa sijui kama kupika utaweza wewe. Uniite nije kukupa marks

Back
Top Bottom