Samaki wa kopo wanaweza tumika katika mapishi gani?

Katlesi

Tuna sandwich

Biriani ya tuna

Tuanze na ipi ?
dismindergirl ngoja nimuongezee mkuu farkhina mapishi mengine ambayo najua anayafahamu.

Tuna cakes - kama crab cakes vile - yaani unadrain tuna, changanya na bread crumbs, yai (kama binder), viungo (onions, scallions, corriander, pilipili-to your taste, nk.), halafu tengeneza hivi vibupa vidogo dogo (cakes) halafu vikaange kwenye mafuta.
 
Last edited by a moderator:

Shukraan sana lakini hii sijui namie nimejifunza kitu

Ubarikiwe
 
Last edited by a moderator:
Tuanze na tuna sandwich
Tuna

2 slices of bread napendekeza whole wheat

Nyanya kata round

Cucumber kata round na lettuce au vegetable unayopenda

Dressing salad upendayo

Weka mkate mmoja chini mwagia tuna juu yake weka nyanya na cucumber

Mwagia dressing salad na weka slice yengine ya mkate juu yake

Hii ni ambayo huna haja ya kutumia sandwich maker

Ukipenda tuna iweke spices kwanza before kufanya sandwich
 
Nitaijaribu hii recipe yako.

Mimi ni mvivu lakini kwa kuwa tuna sandwich ndio lunch yangu ya haraka haraka ninachofanya ni hivi:

Mataarisho ya tuna:
Na-drain tuna halafu nachanganya na mayonnaise (unaweza kutumia mustard kama hupendi mayo au ukachanganya mayo na mastard) kidogo. Mimi hupenda kuongeza vitunguu (thinly sliced) kwenye huo mchanganyiko. Huu mchanganyiko sio lazima uutumie wote mara moja. Unaobakia unaweza kuuhifadhi kwenye friji (nyuzi 38[SUP]o[/SUP]F (3[SUP]o[/SUP]C) au chini yake) kwa siku hata tatu.

Mataarisho ya sandwich:
  • Toast vipande viwili vya mkate (hupendelea rye au whole wheat).
  • Osha majani mawili (au zaidi) ya lettuce na kuyakausha vizuri na kutumia paper towel. (sio lazima kuyakausha kama utakula mara moja lakini kama utachukua sandwich yako kazini ili uile mchana basi stage hii itasaidia hiyo mikate isije ikalowa tuna utakapotaka kula).
  • Weka jani moja la lettuce kwenye toast moja.
  • Weka tuna-mix yako juu ya hili jani.
  • Weka jani lengine juu ya hii tuna-mix.
  • Weka toast ya pili juu ya lettuce.

Hii sandwich hata ukiila baada ya masaa sita bado toast zako zitakuwa crisp.

Vikorombwezo vingine kama vile nyanya (hupenda nyanya gololi), pickle (matango/dill), carrots, tunda, nk., huviweka kwenya container(s) nyingine kama side dishes.
 
Back
Top Bottom